Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Leo tunaendelea kama kawaida majira ya usiku.
Ili tuweweseke vizuri usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
SteveMollel Jana katika kufanya mazoezi ya jioni si nikaenda hadi mtaa wa mashuka.....[emoji23][emoji23]nikaiangaza nyumba mliyokuwa mnaishi hola.....nikarudi zangu kwenye barabara ya zege, panda - shuka mara nne nikasepa zangu
 
Nna wasi wasi kuna kitu hakipo sawa kwenye huu uzi
Mara ya kwanza naingia zilikuwa page 90, nikaingia mara ya pili nikakuta 86, sa hv nimeingia nakuta zipo 82

Naomba kwa waelewa mniambie tatizo litakuwa nini au simu yangu ndo mbovu?
 
Nna wasi wasi kuna kitu hakipo sawa kwenye huu uzi
Mara ya kwanza naingia zilikuwa page 90, nikaingia mara ya nikakuta 86, sa hv nimeingia nakuta zipo 82

Naomba kwa waelewa mniambie tatixo litakuwa nini au simu yangu nfo mbovu?
Kwangu inasoma page 106..
 
Hili la muhimu
 
Nadhani kuna page zinatolewa humu maana tulikuwa tumefika 88 gafla tumerudi 82
Watu wapo kazini hawataki mchezo!!

Wanalipwa kupitia kufuta hizihizi koments zetu kwahio acha wafanye kazi zao !

Hawana weekend wala weekdays kama Hivi leo Jumapili Sasahivi mtu akiandika pumba haichukui masaa wanapita nayo

Ukileta makasiriko yako binafsi hupewi nafasi ni nganjaa sekunde huioni komenti yako

Akiandika ushabiki futilia mbali

Wana chitchat Wafanye kuitana na kuchangia kimbeambea ni kuwahesabia sekunde tu

Hata hii komenti yangu nikigeuza shingo nikaikuta sijui

Kiukweli pamepoa sana hapa

Mwamba uloshikilia usukani wiki hii Shikamoo ,,,umeupiga mwingi

Wapi Steve njoo ulisongeshe gurudumu !
 
Nna wasi wasi kuna kitu hakipo sawa kwenye huu uzi
Mara ya kwanza naingia zilikuwa page 90, nikaingia mara ya nikakuta 86, sa hv nimeingia nakuta zipo 82

Naomba kwa waelewa mniambie tatixo litakuwa nini au simu yangu nfo mbovu?
Kuna comments huwa zinafutwa. Umekuwa verified vipi kama vitu vidogo tu hujui
 
Nna wasi wasi kuna kitu hakipo sawa kwenye huu uzi
Mara ya kwanza naingia zilikuwa page 90, nikaingia mara ya nikakuta 86, sa hv nimeingia nakuta zipo 82

Naomba kwa waelewa mniambie tatixo litakuwa nini au simu yangu nfo mbovu?
Mie niliacha page 89 now zipo 82
 
Nna wasi wasi kuna kitu hakipo sawa kwenye huu uzi
Mara ya kwanza naingia zilikuwa page 90, nikaingia mara ya nikakuta 86, sa hv nimeingia nakuta zipo 82

Naomba kwa waelewa mniambie tatixo litakuwa nini au simu yangu nfo mbovu?
Nashangaa nishafika page 88 naingia tena nakuta ya 82 ,maajabu haya...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…