Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

We masai, huu uzi utakushinda muda na siku si nyingi. Na kwambia kama bro wako. Endelea tu, tukiwashushia maneno makali ili tuwaweke sawa mods wanafuta na kutuban. Sasa ngoja, wewe na wenzako mnaopenda kuanzisha story then mnakimbia
 
We masai, huu uzi utakushinda muda na siku si nyingi. Na kwambia kama bro wako. Endelea tu, tukiwashushia maneno makali ili tuwaweke sawa mods wanafuta na kutuburn. Sasa ngoja, wewe na wenzako mnaopenda kuanzisha story then mnakimbia
Asipotuma story leo hi bas kuanzia kesho tutaanza kukutolea UVIVU ,Shenzi sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Kaka story nzur hii et mpaka mnakuwa wakali hivi kama mnalipia
Ukali hautokani na story nzuri, kwani kuna story mbaya duniani? Sema wanaozileta ni washenzi. Rudi day one uone alivyoanza na mikwara then urudie kusoma ulichoandika
 
Mimi nipo kwa mzee wetu JBourne59 back in time 70's napata somo matata, Dini, mahausiano, maisha ya kila siku. Mzee anaupiga mwingi japo nimechelewa kuusoma uz wa "HAMIDA".
Mzee alikuwa anataka ushirikiano kwenye uzi likes za kutosha anaweka kitu na comment anajibu safi kabisa.
Ila nasikitika sana kwa hawa vijana ila tuombeane heri hatujui changamoto gani inamsibu bwana SteveMollel
 
Bila Shaka Big na mkewe wamesha upiga Ban huu Uzi! Tumuombee ndugu yetu Molel!
 
Mimi nipo kwa mzee wetu JBourne59 back in time 70's napata somo matata, Dini, mahausiano, maisha ya kila siku. Mzee anaupiga mwingi japo nimechelewa kuusoma uz wa "HAMIDA".

Mzee alikuwa anataka ushirikiano kwenye uzi likes za kutosha anaweka kitu na comment anajibu safi kabisa.
Ila nasikitika sana kwa hawa vijana ila tuombeane heri hatujui changamoto gani inamsibu bwana SteveMollel
JBourne59 hana mpinzani hapa JF
 
Back
Top Bottom