ram
JF-Expert Member
- Oct 5, 2007
- 9,326
- 8,505
Ili tuweweseke vizuri usingizini[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Leo tunaendelea kama kawaida majira ya usiku.
SteveMollel Jana katika kufanya mazoezi ya jioni si nikaenda hadi mtaa wa mashuka.....[emoji23][emoji23]nikaiangaza nyumba mliyokuwa mnaishi hola.....nikarudi zangu kwenye barabara ya zege, panda - shuka mara nne nikasepa zangu