dr namugari
JF-Expert Member
- Nov 19, 2022
- 10,466
- 18,206
Anataka abembelezweeeehWee kijana acha kuwa mjinga Kama umughaka ,huyo bwana alianza hvhv ndio maana huwa tunamtolea uvivu
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Aaah mbona hata mm najua kabsa hii stry iliishaje maana na mm nlkua jiran hapo nlkua nawapelekea maji kwa mama tarimo kwaiy hili suala nalifahamu mwanzo mwsho em njoo tuNamsubiri tivu
Tumtoleee uvivu huyu moleliAnataka abembelezweeeeh
Asipotuma story leo hi bas kuanzia kesho tutaanza kukutolea UVIVU ,Shenzi sanaWe masai, huu uzi utakushinda muda na siku si nyingi. Na kwambia kama bro wako. Endelea tu, tukiwashushia maneno makali ili tuwaweke sawa mods wanafuta na kutuburn. Sasa ngoja, wewe na wenzako mnaopenda kuanzisha story then mnakimbia
Bas kalaleNishasahau iliishaje ishaje mala ya mwisho, ndomana sifatiliagi tamthilia na story zenye muendelezo
Kaka story nzur hii et mpaka mnakuwa wakali hivi kama mnalipiaAsipotuma story leo hi bas kuanzia kesho tutaanza kukutolea UVIVU ,Shenzi sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji28][emoji28]bilabilaAsipotuma story leo hi bas kuanzia kesho tutaanza kukutolea UVIVU ,Shenzi sana
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ukali hautokani na story nzuri, kwani kuna story mbaya duniani? Sema wanaozileta ni washenzi. Rudi day one uone alivyoanza na mikwara then urudie kusoma ulichoandikaKaka story nzur hii et mpaka mnakuwa wakali hivi kama mnalipia
HakikaKwao ndio faraja yao wakiona tunalilia next episode, nafsi za watunzi wa JamiiForums ndio zinasuuzika.
Mimi nipo kwa mzee wetu JBourne59 back in time 70's napata somo matata, Dini, mahausiano, maisha ya kila siku. Mzee anaupiga mwingi japo nimechelewa kuusoma uz wa "HAMIDA".
JBourne59 hana mpinzani hapa JFMzee alikuwa anataka ushirikiano kwenye uzi likes za kutosha anaweka kitu na comment anajibu safi kabisa.
Ila nasikitika sana kwa hawa vijana ila tuombeane heri hatujui changamoto gani inamsibu bwana SteveMollel
Huwa najiuliza why wavulana wa sasa wana wivu wa vitu visivyoeleweka kwa wanaume!!?Sawa siku nyingine usimuite mwanaume mwenzio hivyo ni dalili mbaya.
Vuta shuka upya.Nimekurupuka usingizini hola[emoji15][emoji15][emoji848]
Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app