FrankRoosevelt
Senior Member
- Aug 1, 2013
- 119
- 18
Sawa kiongoziHello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Ndo nashangaa jamni kutuaacha tunapitia Uzi Kila mda hapa
Kajitahidi ila watu hatujui kushukuru kuandika nako kipaji aiseeSi haba! Binafsi namshukuru hata hapa alipotufikisha!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Inaendelea...
Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.
Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi. View attachment 2511561
Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea uchawi weweInaendelea...
Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.
Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi. View attachment 2511561
Akiendelea niite nije nimuone BigNdo nashangaa jamni kutuaacha tunapitia Uzi Kila mda hapa
Uzuri kasema ataendelea na itaishia hapa hapa hamna baya. Nilishaanza kuwaza kuitafuta hiyo telegram.Ndo nashangaa jamni kutuaacha tunapitia Uzi Kila mda hapa
WoyooooHello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Dah......ebu jitahidi leo mkuu kabla mambo hayajawa mengi, maana hata juzi uliahidi hv hv.Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Hiyo avator yako iko bomba sana, shingo nzuri, lips safi. Na wasiwasi kama tako lipo maana lazima ungelionesha tu
Tutakudipu 😀
duh kufatilia story ni kipaji adimu sana
Kwa hiyo nawewe una kipaji
Kwa hiyo nawewe una kipaji
Kwa hiyo nawewe una kipaji
Pole,ila na "tukibaki hai tutasimulia" utukumbuke kule.Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Mbambamba Ni msamiati mpya. Hivi maana yake Ni nini?Shusha vitu wewe ,Acha Mbambamba
Mbambamba Ni msamiati mpya. Hivi maana yake Ni nini?