Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.

Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Sawa kiongozi
 
Inaendelea...

Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.

Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi. View attachment 2511561
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.

Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.

Shunie hili goma likipostiwa usiache kunigusa bega mama...
 
Inaendelea...

Naam siku iliyofuata nikaamka asubuhi kama kawaida yangu kuwa wa kwanza kuamka, ile kufungua mlango dah! nikamuona Big akiwa na wenzake kama sita wakiwa vifua wazi huku wamefunga vikaniki wamezunguka duara! Kuangalia vizuri katikati ya duara kuna maiti ya yule mtoto wa jirani ambae tumetoka kumzika jana yake.

Niliamsha wapangaji wenzangu kimya kimya na nikatoa pikipiki yangu kisha nikawapa lifti ili nyumba tumuachie Big maana amezidi. View attachment 2511561
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] chezea uchawi wewe
 
Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.

Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Woyoooo
Tivuakeeee
 
Dah......ebu jitahidi leo mkuu kabla mambo hayajawa mengi, maana hata juzi uliahidi hv hv.
 
Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.

Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Pole,ila na "tukibaki hai tutasimulia" utukumbuke kule.
 
Back
Top Bottom