FrankRoosevelt
Senior Member
- Aug 1, 2013
- 119
- 18
Sawa kiongoziHello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.