Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Mkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu
Mlikuwa mnamix mzigo pamoja dah,nimecheka sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]

Sent from my SM-M115F using JamiiForums mobile app
 
Ilikua balaa mkuu nilikimbizwa nikarushiwa fuko nlilotupa mgongoni likanibwaga nikachezea kichapo raia wamechukua simu saa mkanda viatu soks kila kitu na ela kwenye suruali wanalazmisha nikawape laki mbili home au nile mavi yangu tukaenda mpk home nimevaa niko hoi mpk atm enzi hizo karibu na fire kwa mguu wanatimba nyuma mie mbele nikawapa chao wanasema nenda nikianza kwenda wananilamba fimbo aloo nlitoka nduki magetoni kusanya kila kitu vingine nimeacha nikaanza kuhaha usiku kutafta nyumba kummbuka sina simu nimevimba kote aisee zilikua siku tatu chungu ule mtaa sijapita tena
Mkuu ilikuwaje nawe ukawa unajisaidia ndani🤣😃
 
Unataka umwone na mtoto akiwa anacheza? [emoji1] Aisee, kama kuna tukio litamhusisha nitamtaja kama hamna hutokaa umwone kamwe ili nikupe wewe wasaa wa kuiandika familia yako vizuri hapa.
Unahasira? We endelea kusimulia hadithi yako. Tatizo ni langu nilifikiri ni matukio ya kweli kumbe hadithi njoo, uongo njoo utamu kolea. Uliopofata viroba vyenye vitu vilivyooza gizani na ukashika hadi kichwa cha mbuzi kwa mikono mitupu niligundua uongo njoo.
 
Mkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu
Mwamba ulitisha huo ndo uwanaume[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Ilikua balaa mkuu nilikimbizwa nikarushiwa fuko nlilotupa mgongoni likanibwaga nikachezea kichapo raia wamechukua simu saa mkanda viatu soks kila kitu na ela kwenye suruali wanalazmisha nikawape laki mbili home au nile mavi yangu tukaenda mpk home nimevaa niko hoi mpk atm enzi hizo karibu na fire kwa mguu wanatimba nyuma mie mbele nikawapa chao wanasema nenda nikianza kwenda wananilamba fimbo aloo nlitoka nduki magetoni kusanya kila kitu vingine nimeacha nikaanza kuhaha usiku kutafta nyumba kummbuka sina simu nimevimba kote aisee zilikua siku tatu chungu ule mtaa sijapita tena
Nimecheka kama saa mbovu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Kaka unanikumbusha humu Jf. Kuna jamaa alileta stori yake ya kusaka utajiri Kwa njia za kishirikina. Alienda mpaka Congo kupitia Kigoma. Baadae akakataa kuendelea kuandika akadai Kuna watu wamesema akiendelea watamuua. Akapost na sms za vitisho alizokuwa anatumiwa. Yule jamaa popote alipo natamani nijue stori yake mpaka mwisho.
Duu tutapata wapi mwendelezo
 
Mkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu
😂😂😂 dah
 
SteveMollel wakikuzingua zaidi twende Telegram, anzisha channel ufunge comments sie tutajiunga na kukufuatilia huko, yaan hapa ukitazama episode ya mwisho uliyoitoa iko mbali sana inamlazimu mtu kuingia kila page kutafuta kama kuna muendelezo ad tunakata tamaa [emoji853]
They same t me
 
Back
Top Bottom