Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naona Zikiwa nyingi zinachosha kusoma bora ukomae Nazi hapa mwanzo uende nazo level ado ado mkuu!Nasubiri zijikusanye kwanza
Mlikuwa mnamix mzigo pamoja dah,nimecheka sana[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu
SawaAksantee kipenz ngoja tumsome Big
Motroo sanaAsante sis naona mambo ni motrooooooo!!
kitalembwa leadermoe mmash Labani og Restless Hustler Mafian cartel Antonio de Guzman iPhone 6 mpite na hukuui
Mkuu ilikuwaje nawe ukawa unajisaidia ndani🤣😃Ilikua balaa mkuu nilikimbizwa nikarushiwa fuko nlilotupa mgongoni likanibwaga nikachezea kichapo raia wamechukua simu saa mkanda viatu soks kila kitu na ela kwenye suruali wanalazmisha nikawape laki mbili home au nile mavi yangu tukaenda mpk home nimevaa niko hoi mpk atm enzi hizo karibu na fire kwa mguu wanatimba nyuma mie mbele nikawapa chao wanasema nenda nikianza kwenda wananilamba fimbo aloo nlitoka nduki magetoni kusanya kila kitu vingine nimeacha nikaanza kuhaha usiku kutafta nyumba kummbuka sina simu nimevimba kote aisee zilikua siku tatu chungu ule mtaa sijapita tena
Unahasira? We endelea kusimulia hadithi yako. Tatizo ni langu nilifikiri ni matukio ya kweli kumbe hadithi njoo, uongo njoo utamu kolea. Uliopofata viroba vyenye vitu vilivyooza gizani na ukashika hadi kichwa cha mbuzi kwa mikono mitupu niligundua uongo njoo.Unataka umwone na mtoto akiwa anacheza? [emoji1] Aisee, kama kuna tukio litamhusisha nitamtaja kama hamna hutokaa umwone kamwe ili nikupe wewe wasaa wa kuiandika familia yako vizuri hapa.
Mwamba ulitisha huo ndo uwanaume[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Mkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu
Jamaa siriasi sana yule
Nimecheka kama saa mbovu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]Ilikua balaa mkuu nilikimbizwa nikarushiwa fuko nlilotupa mgongoni likanibwaga nikachezea kichapo raia wamechukua simu saa mkanda viatu soks kila kitu na ela kwenye suruali wanalazmisha nikawape laki mbili home au nile mavi yangu tukaenda mpk home nimevaa niko hoi mpk atm enzi hizo karibu na fire kwa mguu wanatimba nyuma mie mbele nikawapa chao wanasema nenda nikianza kwenda wananilamba fimbo aloo nlitoka nduki magetoni kusanya kila kitu vingine nimeacha nikaanza kuhaha usiku kutafta nyumba kummbuka sina simu nimevimba kote aisee zilikua siku tatu chungu ule mtaa sijapita tena
Duu tutapata wapi mwendelezoKaka unanikumbusha humu Jf. Kuna jamaa alileta stori yake ya kusaka utajiri Kwa njia za kishirikina. Alienda mpaka Congo kupitia Kigoma. Baadae akakataa kuendelea kuandika akadai Kuna watu wamesema akiendelea watamuua. Akapost na sms za vitisho alizokuwa anatumiwa. Yule jamaa popote alipo natamani nijue stori yake mpaka mwisho.
😂😂😂 dahMkuu ongeza japo moja aisee mwanzoni nilijua ile mifurushi big wanakunya ndani wanaenda kumwaga nikachukulia poa maana ilikua ndo zangu kipindi flan chuga maji kisoda bas ile mifuko laini ya zamani ilikoma. Kwangu ilikua kila ukiingia kunanuka puu mbaya sjui nlikua nawaza nn mbaya zaid akija mama yeyo nae anafanya yake tunamix tunavizia mtaa umepoa tunaenda kutupa nje mbali kidogo sitasahau mtego niliowekewa na kunaswa mpk nikahama saa kumi usiku sjui naenda wapi life la kukosa ela mtu unakuwa nusu mwehu
Iliishia wapiJamaa alikatisha story na kuhamia telegram, baadhi tuliamua kumfuatilia huko huko hadi mwisho wa story.
They same t meSteveMollel wakikuzingua zaidi twende Telegram, anzisha channel ufunge comments sie tutajiunga na kukufuatilia huko, yaan hapa ukitazama episode ya mwisho uliyoitoa iko mbali sana inamlazimu mtu kuingia kila page kutafuta kama kuna muendelezo ad tunakata tamaa [emoji853]
Hahahahaha hahahaha hahahaha daaaaah jf hatari sana 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂Mimi huyu[emoji16]View attachment 2510646