Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

DUh
Ya kweli haya?
Sa kwani unazania uongo kuna watu wanafanya drama humu yani dizaini siwalewi kabisa yani kuwa wako kule telegram na hii story unalipa buku ndio unasoma sa sielewi ni nani aliepeleka hii story uko ni huyu Masai au muhuni moja anataka kutuingiza chaka kwa kukocopy story za watu
 
Tivu akeeee ebu fanya ukuje basi
Ahahahahah mi nadhani kazi ya kumu handle "Tivu" aachiwe Shunie pekee ndio yupo qualified tokea 2017 bampa to bampa mambo yakawa yana flow akiitwa tu na Shunie bas anamwaga 😂

Hawa wengine wana makasiriko sanaa
Check hii 👇👇👇👇👇
Screenshot_20230214-141242.png
 
Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.

Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
 
Daah tumekusubiri kwekweli (in magu's voice), pole na majukumu na tunasubiri kuona ilikuaje.
 
Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.

Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Sisi tupo mkuu,huwa tunapita pita mara kwa mara tuone kwenye mti wako kama kuna matunda yamedondoka
 
Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.

Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Watu wamesubiri mpaka wengine wakajua umeingia kwenye kumi na nane za Big kakutaitisha kwa kumtangaza [emoji23]
 
Back
Top Bottom