Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wee jamaa Mungu anakuona, yaani kumbe mmehamishia story telegram na hamsemiMBONA TELEGRAM TUPO SEASON YA 21
Nipe link
Hawa jamaa wote ni kima kama kima wengine kumbe sie tuhangaika wao wamepeleka story telegram Tena Kwa malipo ya bukuWee jamaa Mungu anakuona, yaani kumbe mmehamishia story telegram na hamsemi
Haya nipatie link
EheeeHawa jamaa wote ni kima kama kima wengine kumbe sie tuhangaika wao wamepeleka story telegram Tena Kwa malipo ya buku
DUhHawa jamaa wote ni kima kama kima wengine kumbe sie tuhangaika wao wamepeleka story telegram Tena Kwa malipo ya buku
Nadhan hakuna story tena hapaS ameiga kutoka kwa umughaka mbona alianza vzr tu Sasa ameanza kuwadharau wasomaji
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Sa kwani unazania uongo kuna watu wanafanya drama humu yani dizaini siwalewi kabisa yani kuwa wako kule telegram na hii story unalipa buku ndio unasoma sa sielewi ni nani aliepeleka hii story uko ni huyu Masai au muhuni moja anataka kutuingiza chaka kwa kukocopy story za watuDUh
Ya kweli haya?
MBONA TELEGRAM TUPO SEASON YA 21
Mbuyu ulikua mchicha hapo kwanzaKuna stories za tivu huko nyuma alikuwa akiomba likes ili ashushe episode...
Leo wasomaji wanaomba!
Daah tumekusubiri kwekweli (in magu's voice), pole na majukumu na tunasubiri kuona ilikuaje.Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Sisi tupo mkuu,huwa tunapita pita mara kwa mara tuone kwenye mti wako kama kuna matunda yamedondokaHello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.
Watu wamesubiri mpaka wengine wakajua umeingia kwenye kumi na nane za Big kakutaitisha kwa kumtangaza [emoji23]Hello, guys. Samahanini sana kwa kutokuwapo hewani, recently weekend zimekuwa tough sana kwangu, nimerudi na moto utaendelea kama kawaida, leo nitatuma sehemu mbili, ya jana na leo.
Na niwahakikishie hapa ya kwamba story hii itaandikwa, itapostiwa na itaishia HAPAHAPA.