Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

Jirani yangu wa kule Goba hakuwa mtu wa kawaida

nina wifi yangu alipata kaz nacharo mwaka jana moja ya masharti ni kutokuvaa nguo za rangi nyekundu, akajisahau siku hio akapiga tshirt nyekundu na suruali nyeusi juu aktupia baibui na mtandio kilichomponza ni lile baibui kupepa naupepo ni yale ambayo mbele yana uwazi vifungo kwa juu tu bosi mwenye gari zake akmuona akamfukuza kma mbwa nakumwambia yeye ni mikosi nanuksi katika biashara yake had leo anahangaika kutafta kaz nakazi yenyewe haikudum hata mwezi tangu aipate na aikose.
Huyo wifi yako ni wa hovyo sana, bora walimfukuza mapema. Yaani unaambiwa usifanye hivi na unafanya. Vichwa vigumu kuelewa kama hawa ni kufukuza tu. Kuna siku angepewa hela apeleke bank yeye angepekeka kwenye betting.
 
na hio ndio kanuni ya maisha, ni ku mind your own business, mwenzetu angefocus na maisha yake pngine asingepoteza kiumbe tumboni, ila ni kutaka kudadisi nn kinaendelea ndio yakamkuta na mengine

hata maisha tunayoishi mitaani ukipendelea kujali kuhusu maisha yako utaona tu mambo yanavyokwenda ila ukijidai kuyajua ya waja na yako ndio yanafukunyuliwa hivohivo
Kuna epsode nitakuwa sijasoma
Nani alipoteza kiumbe tumboni
Ni episode no ngapi niipitie
 
Dunia ina mauzauza mengi unachotakiwa kufanya ni kuacha kuchunguza maisha ya watu wengi walio dhurika na bigi wote walijaribu kuingilia mambo yake

Kama una uhakika unaweza kupambana na mauzauza ya dunia basi unaruhusiwa kuchunguza maisha ya watu, maana ukimaliza tatizo moja utakumbana na tatizo lingine
Nimechoka kuwa na amani ngoja nifatilie maisha ya watu kidogo
 
Back
Top Bottom