Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Iko angalia vizuri… now tumefika ya 36Nimefika sehemu ya 8 ya 9 siioni je mwisho mmefika episode ya ngapi?
😂😂daah watu mna maneno sanaUnataka kutaga!?
Bembela the Big slayer 😅Bembela the kingplayer
Mleta story mwenyewe hajasema ni story ya kweli wewe Song of Solomon kwa ujinga tu unalazimisha iwe ya kweli.
Umeisoma tangu mwanzo au BAWASILI inakusumbua?Mleta story mwenyewe hajasema ni story ya kweli wewe Song of Solomon kwa ujinga tu unalazimisha iwe ya kweli.
Huyo wifi yako ni wa hovyo sana, bora walimfukuza mapema. Yaani unaambiwa usifanye hivi na unafanya. Vichwa vigumu kuelewa kama hawa ni kufukuza tu. Kuna siku angepewa hela apeleke bank yeye angepekeka kwenye betting.nina wifi yangu alipata kaz nacharo mwaka jana moja ya masharti ni kutokuvaa nguo za rangi nyekundu, akajisahau siku hio akapiga tshirt nyekundu na suruali nyeusi juu aktupia baibui na mtandio kilichomponza ni lile baibui kupepa naupepo ni yale ambayo mbele yana uwazi vifungo kwa juu tu bosi mwenye gari zake akmuona akamfukuza kma mbwa nakumwambia yeye ni mikosi nanuksi katika biashara yake had leo anahangaika kutafta kaz nakazi yenyewe haikudum hata mwezi tangu aipate na aikose.
12Nimefika sehemu ya 8 ya 9 siioni je mwisho mmefika episode ya ngapi?
Mkuu... ungesoma biblia kidoogo ungepata unachohitaji.Story ya uongo
i am pretty sure habeti ila angeilaHuyo wifi yako ni wa hovyo sana, bora walimfukuza mapema. Yaani unaambiwa usifanye hivi na unafanya. Vichwa vigumu kuelewa kama hawa ni kufukuza tu. Kuna siku angepewa hela apeleke bank yeye angepekeka kwenye betting.
Kuna epsode nitakuwa sijasomana hio ndio kanuni ya maisha, ni ku mind your own business, mwenzetu angefocus na maisha yake pngine asingepoteza kiumbe tumboni, ila ni kutaka kudadisi nn kinaendelea ndio yakamkuta na mengine
hata maisha tunayoishi mitaani ukipendelea kujali kuhusu maisha yako utaona tu mambo yanavyokwenda ila ukijidai kuyajua ya waja na yako ndio yanafukunyuliwa hivohivo
Kaongo hakaJua kali mpk sioni sehemu ya kutagia
Nimechoka kuwa na amani ngoja nifatilie maisha ya watu kidogoDunia ina mauzauza mengi unachotakiwa kufanya ni kuacha kuchunguza maisha ya watu wengi walio dhurika na bigi wote walijaribu kuingilia mambo yake
Kama una uhakika unaweza kupambana na mauzauza ya dunia basi unaruhusiwa kuchunguza maisha ya watu, maana ukimaliza tatizo moja utakumbana na tatizo lingine
Unitapeli nn? Em kuja ujaribu 🤣Kaongo haka
Au mpaka nikutapeli ndio ushike adabu😒