Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 67,252
- 168,563
Siku aliyoondoka sasa ndio ilikua funga kazi!Mmmmmmh[emoji848]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Siku aliyoondoka sasa ndio ilikua funga kazi!Mmmmmmh[emoji848]
hata sitashangaa ukiachilia mbali buses hata ukiamua kufungua duka tu lazima ukalichawie wateja waje naona kama inatrend now a days, kwamba lazima ukaboost biashara itoke, kuna kipindi ni muda kidogo umepita nilikua namsindikiza mam yangu akapande gari za pangani, nakumbuka tulichelewa mno mana ilikua karibu saa moja za usiku haikua kama sasa gari zi tele, tulikaa sana mpaka mwisho nikamwambia mama kama ikifika had saa mbili hakuna gari turudi tukalale utasafiri asbh, kiasi kidogo ikaja gari iko kama costa ile gari ilikua imepakwa pilau yani kama wamelifutia nje punje za pilau na harufu na hio safari ni either mama afike hio siku au kesho yake mapema sana nilichomuambia ni omba Mungu shoga angu ufike salama panda tu nikahakikisha imeondoka nikajirudia zangu kulala sasa imagine ubwabwa wa nn kwenye costa?? Mungu atusimamieKwahiyo na mimi unataka kusema nikitaka kumiliki mabus lazima niloge !?[emoji848][emoji849]
Oi Hawa wanajuana zaidi ya hapa jfAntonnia ipi hiyo unayomwambia jombi akaisome? Nami nataka
MadameSiku aliyoondoka sasa ndio ilikua funga kazi!
Hayo ni mambo yaliyopita mkuuUnaweza kuta mnamsubiri msimuliaji apost episodes humu, Kumbe Big kashafanya yake.
Tunaposoma hii simulizi pia tuendelee kumuombea maana Big sio mtu mzuri[emoji23][emoji23]
Abeee!! Za masiku mkuu ✋!Madame
Hahahaaa..ni zaidi ya hapa kwa Big tu mkuu sie na wengine ni wanafamilia kuleeee👉👉Oi Hawa wanajuana zaidi ya hapa jf
Malizia tufahamu mwisho wa yote ilikuwa nini?Hayo ni mambo yaliyopita mkuu
Naona hapa nilipo mnaongoza kwa mbili hongereni watani [emoji3][emoji110]Poleni thana wana thimbaaa sis[emoji847]!
Jana nilifurahijeee[emoji1787]!
Miss u [emoji8]Abeee!! Za masiku mkuu [emoji113]!
Santo sana 💃💃💃🤸 !!Naona hapa nilipo mnaongoza kwa mbili hongereni watani [emoji3][emoji110]
Miss you too friend 😘!Miss u [emoji8]
Shule ya kanisa iyoItakuwa Rosmini
Hamna jamii yeyote duniani isiyofuata mila zake ila waafrica ndio tumekua wajinga tunafuata mila za watu (dini)Nasikia pia Lazima ulozi uhusike Sijui ni kweli! Kumbe hadi wachina wana hizo mambo duh hatari sana!
Hilo siwezi kulisemea ila wanakuaga na mambo yaonaskia pia lazima mmoja afe et kama kafara
Kwanini?,hebu tuhadithie kidogo mremboSiku aliyoondoka sasa ndio ilikua funga kazi!
Haya madame nimekuelewa,lkn kipindi kile upo na Smart911 nilikua naona wivu [emoji3][emoji2089]Hahahaaa..ni zaidi ya hapa kwa Big tu mkuu sie na wengine ni wanafamilia kuleeee[emoji117][emoji117]
Sitaki kukumbuka kabisa ile siku yanii mie nilikua Kazini bana sasa usiku wa kuamkia hio siku tulipika Chakula mboga ilikua samaki ikabaki.Kwanini?,hebu tuhadithie kidogo mrembo
Sema wadada wa kazi napo ni kumuomba MunguHeeeeeeeehhh kupita mlangoni na mlango umefungwa? Duuuuuhhhh! Dunia ina mauzauza sio poa mkuu!!
Sasa juzikati nilipata Binti wa kazi kwao walikua walozii nyieeee [emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]!
Ni alikua anatokewa na mauzauza hadi nilimrudisha kwao ghafla tu sikuwaziii na namna!
Eti mtu mmelala ndani Usiku binti yeye anasikia geti kama linagongwa gongwa kwanguvu na chuma muda mwingine kama linatikiswatikiswa ile ya kudisturb mtu alielalaa sasa hapo anayesikia hivo ni yeye tu sasa unamsikia binti anafungua ili aone nani anapigapiga vile yeye anavofungua mlango unamsikia unatoka kumuuliza anafungua kwenda wapi?? kufanya nini?? Anakusimulia anavosikia hapo wewe hata huoni wala kusikia chochote unabaki kutoa macho tu. Siku nyingine anatokewa na watu anawaona wanaelea juu ya kichwa chake mara awaone juu ya dari huko watu wawili wamejifunga mabegani kama mashuka mekundu kichwani hadi usoni wamejipaka maungaunga meupee anakwambia anawaona wanamwita kwa kurudia rudia ' Noela njoooo Noela njoooo Noela njoooo' ivoivo huku kama wanamvuta sasa kuna muda unasikia anaongea nao kama wanabishana hivi kuna siku nivomsikia nikashtuka kutega vizuri sikio nasikia mtu anaongea kwanguvu chumbani kwakee nikaamka kwenda kuangalia ninini anasema tangu alivoenda kulala tu hajasinzia kabisa Hao watu walimtokea wanamuita... mara wabadilike kuwa watu kabisa ambapo aliona kibibi kizee fulani cha kwao ( ni jirani yake) na mbaba wa makamu mara hapohapo wanabadilika kuwa kuku mara ng'ombe mara dude ambalo hata halieleweki hio siku alitoka nje Usiku mlangoni kwake akakuta kisu kina damuu .. hirizi nyeusi na tudawa dawa kama vumbi la mkaa..yeye pekee ndio anaviona Hivo vitu nyie wengine hata hamuoni! baby zu Kalpana
Mmmmh polee, hivi vitu vipo mm nina rafiki yangu mtoto wake wa kwanza aliempata kwenye harakati za kutafuta maisha ana hizi mambo,na mtoto huwa anamuhadithia kabisa kuwa ni wakalaSitaki kukumbuka kabisa ile siku yanii mie nilikua Kazini bana sasa usiku wa kuamkia hio siku tulipika Chakula mboga ilikua samaki ikabaki. Ile asubuhi nivoamka kujiandaa kwenda Job binti wa kazi nikamuachia maelekezo mchana atakata kabegi wamalizie na ile samaki ilobaki usiku wapike na ugali Kwani hio home walibaki yeye na jr tu!
Sasa nipo kazini mida kama ya saa 6 mchana nikaona napigiwa Simu na housegirl wa jirani madam Noela kadondoka yupo jikoni chini anapiga kelele tu Sisi tumeenda kumuangalia tunamuuluza amekuaje hajibu kitu fanya uje haraka!!
Kutokana na hayo mauzauza aliyokuwa anatokewa mwanzo kwanza niluogopa sanaaaa akili yangu ikimuwazia Mwanangu tu kuwa nisije kuta kamuua mwanangu yani damu ilinichemkaaa hio siku duhh! Kazini sio Mbali sana na home nikachukua boss fastaaa chap kufika chakwanza kuulizia Jr yukwapi na kumtafuta huku nimetoa macho balaa! Kumbe Mtoto alikua zake nje huko anacheza hana hata habari!!
Kuingia ndani namkuta binti sebleni kumuuliza akaanza kunihafithia bana:
Ilikua mida ya saa tano unusu asubuhi alikata kabegi vizuri akaipika vizuri sasa ile ametoa sufuria jikoni kupeleka sehemu ya kutaka kuipakua aiweke kwenye sahani moja kwa moja kwani walikua wanaenda kula muda si mrefu so hakutaka kuiweka kwenye hotpot ndio ilikua mazingaombweee sasa! Alipeleka kwanza sufuria lakabeji akaliweka hio sehemu vizuri sasa akarudi jikoni kufata samaki pia alikua ameipasha ile kufika anakuta sufuria lenye kabegi alizopika limejaa maji hadi juu na mboga Hizo zikiwemo ikumbukwe hapo ndani alikuepo yeye tu Jr alikua nje huko kwa wenzake anacheza hana hili wala like!! Akajiuliza nani kaweka haya majiii???