sengobad
JF-Expert Member
- Aug 13, 2017
- 9,008
- 8,788
Si mpaka awe na sifa za kutongozwa, sio kila ke upata bahati hiyo, wengine mpaka wanaenda kwa Mwamposa ili kuona kama watapata hiyo bahati.Na wengine utamani kama wangekuwa me ili kuhepuka kadhia hiyo.Unampenda na yeye Hakupendi, fanya mambo yako achana naye, sifa ya mwanamke anayejielewa ni kungoja atongozwe, sio kujitongozesha.