Si mpaka awe na sifa za kutongozwa, sio kila ke upata bahati hiyo, wengine mpaka wanaenda kwa Mwamposa ili kuona kama watapata hiyo bahati.Na wengine utamani kama wangekuwa me ili kuhepuka kadhia hiyo.Unampenda na yeye Hakupendi, fanya mambo yako achana naye, sifa ya mwanamke anayejielewa ni kungoja atongozwe, sio kujitongozesha.
Haya Sasa Leo kafanya the same thing alikaa njee ya geiti kwenye gari lake akasubiria kuona namsubiria nani alipona ni fundi ndio akaenda zakeKwahiyo unalazimisha akutongoze? hajakwambia anakupenda tulia acha wenge ni machepere yako tu ndo yanakufanya ujiangushe angushe kwenye boksi na utaliwa kimasihara
Toa ushauri bhana acha mbwembweMtoa mada na yule Yuniki Flawa Ni mandugu.
Hakunaga sitoki ovyoo mwili wangu maana yupo mahali yule anayestahili mwili huo kihalaliHapo inaonekana jirani hata akitaka utumbo alie na ndizi anapewa tu.
Mnamchokoza🤣🤣🤣🤣Yaan mule mule..hujakosea🤣🤣🤣👋
Acha tu🤣🤣🤣👋Mnamchokoza🤣🤣🤣🤣
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaahYuniki [emoji255]type
Simo coca[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] khaaaaah
Hata mie simoo, [emoji23][emoji23][emoji23]Simo coca
Afu ni yeye 😁Hata mie simoo, [emoji23][emoji23][emoji23]