Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

Jitahidi manukato na marashi yasiwe kero kwa wengine

unatupa shida sana.

Basi nimekumbuka kipindi niko sekondari mama alikuwa amesafiri nikaiba perfume yake nikajipulizia ipasavyo nikaenda zangu church. Kiukweli nilijishtukia kwamba nimezidisha kiwango, na ile perfume ilikuwa na ukali si haba.
Nikawa nimekaa na dada mmoja nilihisi kabisa nampa shida ya ile harufu. Hadi leo miaka mingi imepita nikikutana na yule dada(sasa hivi ni maza mtu mzima) lazima nikumbuke hili tukio.
Duuuuh ! Wengine Huwa majini hawapendi
 
Ila manukato mazuri hayawezi kumkera mwingine kuna mpaka manukato kwa ajili ya maiti na yanauzwa kwenye maduka ya bidhaa za kawaida tu ,usipo kuwa makini ni rahisi mno kuyanunua.
Hatari
 
Ila manukato mazuri hayawezi kumkera mwingine kuna mpaka manukato kwa ajili ya maiti na yanauzwa kwenye maduka ya bidhaa za kawaida tu ,usipo kuwa makini ni rahisi mno kuyanunua.
kuna zingine ziko poa. kuna mmoja leo kaja ofisini ni first year aisee mtoto ananukia kale kaharufu kama umeingia benki, nilitaka kumuuliza ni gani hii
 
Back
Top Bottom