Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
wazo la kitajiriIli kuongeza thamani ya mahindi yako, nunua mashine ya kusaga na kukoboa, saga unga wako halafu uweke kwenye vifungashio bora. Lazima utaona mabadiliko
jaribu kufikiri mara mbili mbili.. Unakuta mtu maisha magumuu alafu wakati huo kwake/kwao kuna hekari zaidi ya 3 zimestawi miiba tuMimi na jembe sijajua shida iko wapi
[emoji1666][emoji1666]Sahihi mkuu naunga hoja mkono
hiyo 120k siyo lazima ikanunua gunia za mahindi.. Sababu nyingi nyingii! calculation sanaaa!!Motivational speakers, hayo mahindi yakishuka tunayanunua gunia 60k
Mtu anayesave 10k kwa siku ananunua gunia ndani ya siku 6
Watu wa 4 wanakula magunia mawili kwa mwaka=120k, kazi ya siku 12
Kama umeishi ukiwazayatashuka basi kaza mkanda this time hayashuki yanasepa nchi kibao tu ndiyo maana ulisikia vilio vya eti serikali iingilie bei ila serikali ikagomaMotivational speakers, hayo mahindi yakishuka tunayanunua gunia 60k
Mtu anayesave 10k kwa siku ananunua gunia ndani ya siku 6
Watu wa 4 wanakula magunia mawili kwa mwaka=120k, kazi ya siku 12
Msimu huu mahindi yatashuka sana, gunia litauzwa 50kKama umeishi ukiwazayatashuka basi kaza mkanda this time hayashuki yanasepa nchi kibao tu ndiyo maana ulisikia vilio vya eti serikali iingilie bei ila serikali ikagoma
uko mkoa gani mkuu whiteskunkMsimu huu mahindi yatashuka sana, gunia litauzwa 50k
Huku niliko mahindi yamekubali na yanaelekea kukomaauko mkoa gani mkuu whiteskunk