Jitahidi ulime walau hakari 1ya mahindi kila mwaka

Gaddaf i06

JF-Expert Member
Joined
Nov 14, 2022
Posts
1,770
Reaction score
2,841
ukienda kijijini heka 1 utakodi kwa gharama isiyozidi laki moja 100,000.00 tu! ukilima mahindi ni miezi mitatu tu unavuna faida nzuri mno, jipunguzie gharama za maisha kwa kutengeneza mwenyewe baadhi ya vitu! nisiongee sana maana hamchelewi kusema "motivational speakers"

na wewe uliopo mjini mashamba umeyakimbia kule vijijini, unaunga maisha hapa mjini huna hili wala lile: wewe hujuwi unachokitafuta! think twice

Kilimo kinalipa, usiishi kwa mshahara
 
Ili kuongeza thamani ya mahindi yako, nunua mashine ya kusaga na kukoboa, saga unga wako halafu uweke kwenye vifungashio bora. Lazima utaona mabadiliko
 
Motivational speakers, hayo mahindi yakishuka tunayanunua gunia 60k

Mtu anayesave 10k kwa siku ananunua gunia ndani ya siku 6

Watu wa 4 wanakula magunia mawili kwa mwaka=120k, kazi ya siku 12
 
hiyo 120k siyo lazima ikanunua gunia za mahindi.. Sababu nyingi nyingii! calculation sanaaa!!
 
Motivational speakers, hayo mahindi yakishuka tunayanunua gunia 60k

Mtu anayesave 10k kwa siku ananunua gunia ndani ya siku 6

Watu wa 4 wanakula magunia mawili kwa mwaka=120k, kazi ya siku 12
Kama umeishi ukiwazayatashuka basi kaza mkanda this time hayashuki yanasepa nchi kibao tu ndiyo maana ulisikia vilio vya eti serikali iingilie bei ila serikali ikagoma
 
Msimu huu mahindi yatashuka sana, gunia litauzwa 50k
 
Back
Top Bottom