Gaddaf i06
JF-Expert Member
- Nov 14, 2022
- 1,770
- 2,841
ukienda kijijini heka 1 utakodi kwa gharama isiyozidi laki moja 100,000.00 tu! ukilima mahindi ni miezi mitatu tu unavuna faida nzuri mno, jipunguzie gharama za maisha kwa kutengeneza mwenyewe baadhi ya vitu! nisiongee sana maana hamchelewi kusema "motivational speakers"
na wewe uliopo mjini mashamba umeyakimbia kule vijijini, unaunga maisha hapa mjini huna hili wala lile: wewe hujuwi unachokitafuta! think twice
Kilimo kinalipa, usiishi kwa mshahara
na wewe uliopo mjini mashamba umeyakimbia kule vijijini, unaunga maisha hapa mjini huna hili wala lile: wewe hujuwi unachokitafuta! think twice
Kilimo kinalipa, usiishi kwa mshahara