Jitahidi uwe na kitu unakifanya ili kuongeza connection na uchumi wa kimaisha

Lugano Edom

Senior Member
Joined
Dec 2, 2021
Posts
122
Reaction score
186
Sometime kuna mambo mabaya twayafanya kwenye familia, jamii au watu watuzungukao kwa sababu hatuna jambo la kufanya kwenye jamii.

Jitahidi uwe na kitu unakifanya kuwa busy. Hasa kuongeza connection na uchumi wa kimaisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…