mwanamakole
Member
- Dec 3, 2015
- 94
- 102
WATER THERAPY
Faida zake; Utaondokana na changamoto zifuatazo:
1. Uzito usiotakiwa
2. uchovu kwa wakati usiostahili
3. kutopata usingizi kwa wakati muafaka wa kulala
4. Maumivu sugu ya Tumbo, Kichwa, viungo nk
5. kupunguza Tumbo/ Kitambi
6. Cancer, Kisukari, asthma, Shinikizo la damu( la juu na la chini) Fibroid nk
Namna ya kutumia water Therapy(MAJI TIBA) wataalamu mtanisaidia lugha sahihi hapa
Kiasi cha maji kinachotakiwa ni lita 3 tu kwa siku na unakunywa kwa utaratibu ufuatao:
1. maji Mls 1500 au Lita moja na nusu(Lt11/2) unakunywa alfajiri kati ya saa 10 hadi saa 12 asubuhi. ndani ya dk 5 uwe umemaliza
2. maji Mls 750 (Au robo tatu lita) kati ya saa 8-9 Mchana, ndani ya dk 1 uwe umemaliza
3. maji mls 750 au robo tatu lita, kati ya saa 12 hadi saa 1 jioni, ndani ya dk 1 uwe umemaliza.
ANGALIZO: Endapo utakunywa kinyume na utaratibu huo, hayatakuwa maji tiba tena bali ni maji ya kunywa kama ulivyozoea.
ushuhuda.
1. Nina mgonjwa alokuwa akisumbuliwa na miguu kiasi cha kupungua uwezo wa kutembea na kubeba mizigo. tatizo lake lilikwisha ndani ya wiki 2
2. Mgonjwa wa kisukari ambaye baada ya kutumia kwa siku tano presha yake ilipungua kutoka 126/90 hadi 113/80 na alikuwa anaendelea kupata faraja/ Ahueni
3. Presha yangu mwenyewe baada ya kutumia kwa wk 1 ilipungua kutoka 110/80 hadi 100/70
4. Ushuhuda zaidi utaendelea kutolewa
Ni vizuri ukajaribu endapo una changamoto kadhaa ktk mwili wako kisha uje na mrejesho hapa, kwa muda wa siku 2 tu unaweza anza ona mabadiliko japo changamoto kubwa ni zile lita moja na nusu ya asubuhi. lkn kama una shida kweli hautasita kujaribu kuifanyia kazi.
faida za kutumia maji kwa utaratibu huu, ni nyingi, maelezo na sifa zilizoainishwa hapa ni chache. cha msingi ni vizuri jaribu then unaweza pata maelezo au kujionea kwa usahihi wewe mwenyewe mtumiaji.
MAELEZO
maji yanafanya nini mwilili?
Ifahamike kwamba sumu zisababishazo shida mwilini husambazwa mwili mzima kupitia damu, hivyo ukinywa maji kwa mtindo huu yanasafisha damu, na kupelekea kuondolewa wa sumu mwilini. wataalamu wa tiba watanisaidia kutoa maelezo zaidi. mie sio tabibu naweza kuwa nimekosea.
NB: Wale wa kejeli na mizaha naomba tukae pembeni kidogo. Wenye changamoto za maradhi hayo na mengine karibuni kwa mrejesho baada ya kuanza kutumia dawa hii.