sky soldier
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 5,407
- 19,264
Halafu hizi propaganda zinakusaidia wewe na familia yakoMcdonald ni mgahawa wa fast food mkubwa zaidi duniani
Katika mashambulizi ya October 7 Israel ilipovamiwa na Hamas, Mcdonald walitoa vyakula bure kwa wahanga.
Hali hii ilipelekea magaidi kuhamasisha kugomea kununua vyakula vya Mc Donald,
Chuki hizo hazina nafasi kwa mamilioni ya waarabu wanaojitambua,
- McDonald anachangia kodi
- Mcdonald inatoa ajira
- Mcdonald wana huduma safi
View attachment 2836588