Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Nimesahau cha ajabu nimemuona Mshana ananiloga
 
Nakubaliana na wewe ila mimi natumia uchawi kuzuia wanaodhuriwa na uchawi na natumia uchawi kuwarahisishia waliokua na magumu bila ya kumuasi mungu uchawi ni zawadi ndugu ha ha ha
KUWARAHISISHIA WALIOKUWA NA MAGUMU BILA KUMUASI MUNGU!!!
Kuna mungu unayemuamini wewe anayeendana sawa barabara kabisa na uchawi.
Na Kuna MUNGU aliyekataza shirki. Kuna Mambo mengine waislamu tunajitakia tuonekane wote ni watu wahovyo😠😠😠😠..
 
Mkuu natafuta jini la kubashiri matokeo ya mpira kama unayo!
 

Hivi wewe ni muumini gani usioelewa tofati ya uchawi na shirki sababu uchawi ni lazima uombe baraka za mungu pia
 
Wewe Sasa ndio unataka kutuloga
 
Ndio maàna maeneo yenye waislam wengi hayaishi uchawi na ushikina

usichanganye uislam na uchawi ndugu yangu.
uchafi au ushirikina ni tabia tu za kishetani ambazo hazina uhusiano wowote na dini...

Uislamu kwenye kitabu kitakatifu cha Koran imeukataza sana ushirikina na unafiki, na ni vitu vinavyoweza kumpeleka mtu motoni haraka sana kwa mujibu wa Koran na Uislam..

Mbeya na Iringa kuna ukristo kwa asilimia kubwa lakini ndio kwenye uchawi kwa wingi sana, Kanda ya Ziwa pia wakristo ni wengi na uchawi ni mwingi pia vipi tuuhusishe ukristo na uchawi wa hao watu? HAPANA hata ukristo kwenye bible umekataza ushirikina na ni tabia tu za kibinadamu ndio zimewafikisha huko..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…