Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Habari wanajamii
Napenda kuchukua fursa hii kuwapa darasa huru jinsi ya kujiangalia mwemyewe kama umerogwa

1. Chukua mkaa usage sage uwe kama unga changanya na ubani wowote uusage vizuri kisha ufunge kwenye karatasi na uuweke kwenye mto wako unaolalia

2. Usiku wa kuamkia alkhamis weka dawa yako na uulalie utakutana na ndoto zako zote zinazohusiano na uchawi kama aliekuroga umerogwaje wapi vitajionesha

Asanteni sana
Kwahiyo nitaona SURA ya mtu aliyeniroga ama?
 
Acha ushirikina we sheikh ubwabwa ungekua karibu ningekutandika makofi
 
Back
Top Bottom