Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

mrejesho hapa tutegemee ijumaa ila mkaa hutumika sana kuondosha husda na zongo mkaa na magadi, ukikrogewa ukinywa husaidia sana watu hawakupig zongo ovyo

Unanjia zake za kupita sio mkaa tu ndugu
 
Masikini wengi ndio wanapishana kwa waganga , hao ndio watoto wao wana maruhani !

Nikwambie kitu ndugu, hao matajiri unaowaona wote nnauhakika asilimia hakuna ambae hana mganga wa kumuendeshe mambo yake, wanasjasa masheikh wachungaji na watu maarufu kuna kamati ya kusimamia hizo mambo usione wapo wapo tu
 
Leo jumatano, so leo usiku tuchukue cocktail yetu tuweke chini ya mtoto,
Kesho asubuh tuadisiane matokeo wakuu
 
Live kabisa mzee,ila kujua nani ni nani ni ngumu,kwanza huwez kuwatazama mara mbili kwa jins wanavyotisha,halaf wanakua wamejipaka marangi meusi usoni......niliishia kupiga makelele nyumba nzima waliamka,Asee tusali sana wachawi are real!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] Mkuu umbea ulikusumbua
 
Back
Top Bottom