Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Mganga majuzi nimeota navamiwa na Mbwa, simba, nyoka yaani matukio yote yametokea ndani ya ndoto Moja.

Pia naotaga nakula nyama usiku au nipo shule nini Maana yake

Uvamizi wa mnyama katika ndoto ni maadui hivyo hao ni maadui na aina yq mnyqma inamaanisha namna ya uadui ambao anafanya kwako
Mfano nyoka ni uadui wa uchawi, simba ni uadui wa mamlaka mbwa ni uadui wa uhalifu
 
Mganga majuzi nimeota navamiwa na Mbwa, simba, nyoka yaani matukio yote yametokea ndani ya ndoto Moja.

Pia naotaga nakula nyama usiku au nipo shule nini Maana yake

Kuota unakula nyama inategemea kama unakula nyama iliopikwa na ya mnyama halali kuliwa ni ishara ya mafanikio ya kipato mbele yako ila kqma ni nyama mbichi ni pesa itakayoingia kwa dhulma
 
Mganga majuzi nimeota navamiwa na Mbwa, simba, nyoka yaani matukio yote yametokea ndani ya ndoto Moja.

Pia naotaga nakula nyama usiku au nipo shule nini Maana yake

Kuota shule ni uakisi wa maisha ya mwanadamu kuna watu wengine hawaachi kuota wapo shule hii inakuonesha ishara ya maisha yako sidhani kama kuna mtu hajawahi kuota yupo shule
 
Hivi ni usiku wa leo kuamkia kesho alhamisi au ni usiku wa kesho alhamisi kuamkia ijumaa ndo hii dawa yafaa kufanyika ?
 
Uvamizi wa mnyama katika ndoto ni maadui hivyo hao ni maadui na aina yq mnyqma inamaanisha namna ya uadui ambao anafanya kwako
Mfano nyoka ni uadui wa uchawi, simba ni uadui wa mamlaka mbwa ni uadui wa uhalifu
Kuna siku niliota mbwa wawili wakubwa Sana ambao kupitia ndoto hao waliokuwa na cheo Cha kikomandooo na walikuwa wakinilinda wote wawili na ilipofika muda mbwa mweusi aliitwa kwenda kwenye kikao Chao Basi akaniongoza nikamsindikiza Hadi kwenye chumba Chao Cha kikao ambacho kulikuwa na Wakubwa wao ambao Ni makomandoo wa kibinadamu lakini Yule Mweupe alibaki nje akinisubiria nilipotoka ndani huyu aliyekuwa nje akanisindikiza Hadi alipoona nimefika mahala ambapo siwezi kupotea akarudi.. na nilipita eneo ambako kulikuwa na soko na butcher za nyama za Ng'ombe..

Nini Maana yake
 
Back
Top Bottom