Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Jitizame kama umerogwa ukiwa nyumbani kwako

Habari wanajamii,

Napenda kuchukua fursa hii kuwapa darasa huru jinsi ya kujiangalia mwenyewe kama umerogwa.

1. Chukua mkaa usagesage uwe kama unga changanya na ubani wowote uusage vizuri kisha ufunge kwenye karatasi na uuweke kwenye mto wako unaolalia.

2. Usiku wa kuamkia alkhamis weka dawa yako na uulalie utakutana na ndoto zako zote zinazohusiano na uchawi kama aliekuroga umerogwaje wapi vitajionesha.

Asanteni sana
Nimerogwa maana nimeshaona mtoto wa Mama yangu mdogo niliyekuwa namuhisi muda mrefu. Nitajikomboaje bila kwenda kwa Mshana Jr au mwenyewe Hizbu Sharifu?
 
Habari wanajamii,

Napenda kuchukua fursa hii kuwapa darasa huru jinsi ya kujiangalia mwenyewe kama umerogwa.

1. Chukua mkaa usagesage uwe kama unga changanya na ubani wowote uusage vizuri kisha ufunge kwenye karatasi na uuweke kwenye mto wako unaolalia.

2. Usiku wa kuamkia alkhamis weka dawa yako na uulalie utakutana na ndoto zako zote zinazohusiano na uchawi kama aliekuroga umerogwaje wapi vitajionesha.

Asanteni sana
Hamna kitu
 
Mimi nimeweka nimeota mambo ya chakula chakula tu.....yani tupo sehemu tunakula ila mimi napewa kipaumbele kwenye hiko chakula...mkuu kwamba ndo narogwa kupitia chakula ama???? [emoji15][emoji15][emoji15][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134][emoji134]
Kuna kasherehe ka kishirikina ulifanyiwa ukiwa mtoto nyumbani kwenu....
 
Pia nimeota tupo sehemu kuna muziki dj anapiga muziki na waliomzunguka ni wadada wengiiiiiiiii wanachezacheza hapo.. nakwendakwenda pale kwa dj...mimi nimekaa pembeni sichezi badae dj alivomaliza na kufunga muziki akaandika ki note na kuniachia mkononi yeye akaondoka ndani yake kukiwa na note ya tsh elfu 10 wale wadada walikua wanashangaa sana ???? Nini maana yake??
Yani Apo maana yake ulihongwa na mkuu wa wachawi...subiri akujie usiku muende date
 
Mi kwangu nimeota niko na wadau wangu wa shule ya msingi tunakumbushana matukio ya Sherehe yetu ya kumaliza la saba.

Baadae ikajulikana kuwa mdau mmoja ana biashara sokoni mojawapo yakiwa maziwa, basi kwa upendeleo akawa ananionjesha maziwa take kama glasi mbili ndogo! Maziwa yenyewe yalikuwa ya mgando yaliyochemshwa, yalikuwa na ka uchungu flani kwa mbaaaaaali ila yalinivutia.

Nb: Katika maisha ya kawaida halikuwahi kuwapo hilo tukio.

JamiiForums mobile app

Umenyweshwa uchawi ndugu
 
Mimi nimeota npo na dem kitandani tumejiwekea enclosure, kam maish ya udom yalivyo, yule dem nkamchezea san ila akagoma kabsa kusex. Nje ya kile kitanda kulikuw na watu wengi wanafunz na wao, baada ya kutoka pale kitandani jamaa yang mmoj akaniita pemben huku analia akanambia anamuhis huyo dem nliekuw nmelala nae ameathirika. Na ndoto ikaishia hapo, sjui ina maana gan.
 
Back
Top Bottom