Umeandika haya ukiwa ndotoni ama?Kati ya Wakatii au Wahaiti (Hittites), Wagirgashi (Girgashites), Waamori (Amorites), Wakanaani (Canaanites), Waperizi (Perizzites), Wahivi (Hivites) na Wayebusi (Jebusites) wepi ni hatari na wabaya zaidi?
"anenepe kwani amekuwa nguruwe" ππNakubaliana na wewe. Jux aliona hana wafuasi akaamua ajitoe fahamu kwanza ili aweke watu attention. Jamaa ana maisha yake tena mazur tu na mtu na bundle lake la mkopo anakuja jf kusema kakonda cjui free jux, anenepe kwan yey nguruwe.
Kuna mtu ukweli namchukia naomba rafk zangu huyo mtu akicoment muwe mnaniambia nisifungue uzi alocoment plz.
"anenepe kwani amekuwa nguruwe"