Msemaji_
JF-Expert Member
- Oct 22, 2016
- 602
- 801
Ww jamaa unatokea mbeya sehemu ganHapo limekula migagi, numbu, vitindi, mabangayeye, makusu, makatapera, mbula, nguniani, kisyesye, kifuge, kipome, mangubwisya, na lukama ameweza kuwa hivyo, bado hajaanza kula vyakula vya kimagharibi vyenyewe majina ya swaga za mamtoni.