Ww jamaa unatokea mbeya sehemu ganHapo limekula migagi, numbu, vitindi, mabangayeye, makusu, makatapera, mbula, nguniani, kisyesye, kifuge, kipome, mangubwisya, na lukama ameweza kuwa hivyo, bado hajaanza kula vyakula vya kimagharibi vyenyewe majina ya swaga za mamtoni.
Umesahau masasati na mafyulisiHapo limekula migagi, numbu, vitindi, mabangayeye, makusu, makatapera, mbula, nguniani, kisyesye, kifuge, kipome, mangubwisya, na lukama ameweza kuwa hivyo, bado hajaanza kula vyakula vya kimagharibi vyenyewe majina ya swaga za mamtoni.
Mabanganyeye, mbula, kifuge 😂😂😂Hapo limekula migagi, numbu, vitindi, mabangayeye, makusu, makatapera, mbula, nguniani, kisyesye, kifuge, kipome, mangubwisya, na lukama ameweza kuwa hivyo, bado hajaanza kula vyakula vya kimagharibi vyenyewe majina ya swaga za mamtoni.
Kuna jamaa alikuwa anaitwa Ibambangulu, unaambiwa akiingia kwenye nyumba anaanza kutuna na kuvimba hadi aijaze nyumba yote kwa mwili wake
TeaKuna jamaa alikuwa anaitwa Ibambangulu, unaambiwa akiingia kwenye nyumba anaanza kutuna na kuvimba hadi aijaze nyumba yote kwa mwili wake.
nilikuwa nategemea ili swaliWanayazungumziaje maumbile yake mengine
Wote mwisho wetu ni mbaya mkuu.Kifo ni kifo tu🥴Sema huwa aanakuwa na mwisho mbaya saana maana misuli inakuwa inalegea na kuuma haswa
🤣😆nilikuwa nategemea ili swali
Unaweza kukuta hali chakula kingi mavirutubisho ndio mengiAnakula ndoo ngapi za chakula
Kwisha habari yakeKwani P Diddy kafika mwisho?
Weka sukari