Anaitwa Shahidi wa Yehova...[emoji23][emoji23][emoji23]Leo ndo nimedhihilisha kuwa Simba ni butuuuuuuuuuuuuuuu, hafu ni timu mbovuuuuuuuu, wanshindwaje kufunga mda wote wako kwenye goli la mpinzani wao😡😡😡 kweli huyu kocha wa simba naanza kuwa na wasiwasi nae huyu anatoka Mikindani sio Belgium😡
Mujarabu kabisa!N
Wakati unajigamba nilikuambia kuwa muda utaongea.
Generali mzuri wa mipango za vita kwanza anaangalia uwezo na udhaifu wa mpinzani wake baada ya hapo anatayarisha mipango ya vita .
Mipango mizuri ya vita iliwezesha Isreal kuwagaragaza maadui wao ambao waliwazidi maradufu kwa idadi ya askari pamoja na zana.
Na bado tutapaki basi sana kama Chelsea walivyokuwa wanapaki mpaka ubingwa
Achananaaaanar mwanakwayaaa kabashirii imegomaaaa anaonaaapakukimbilia
Shameempwaaawangui
Kwa Mimi ambaye ni ' Rais ' wa Kudumu wa Matusi / Maneno Shombo Jamvini hilo Tusi ulilolitaja hapo wala bado naona hujanitukana hivyo nakuomba tulia chini tafuta Matusi mengine mapya na kama huna niambie nikuazime Kamusi yangu ' Tukuka ' kabisa na Matusi ili uokote okote mengine huko kisha uwe ' Mbobevu ' nayo.
Kitu hujagundua bado. Ile sare ni hadi ubingwa wa TPL.Nafkiri ile sale watasheherekea miaka yote