Jitu zima linatoka Congo linakuja kupaki Basi Jangwani Ilala Dar es Salaam halafu tena bila aibu linajisifia kabisa mbele ya Media

Jitu zima linatoka Congo linakuja kupaki Basi Jangwani Ilala Dar es Salaam halafu tena bila aibu linajisifia kabisa mbele ya Media

Leo ndo nimedhihilisha kuwa Simba ni butuuuuuuuuuuuuuuu, hafu ni timu mbovuuuuuuuu, wanshindwaje kufunga mda wote wako kwenye goli la mpinzani wao😡😡😡 kweli huyu kocha wa simba naanza kuwa na wasiwasi nae huyu anatoka Mikindani sio Belgium😡
Anaitwa Shahidi wa Yehova...[emoji23][emoji23][emoji23]
 
N

Wakati unajigamba nilikuambia kuwa muda utaongea.
Generali mzuri wa mipango za vita kwanza anaangalia uwezo na udhaifu wa mpinzani wake baada ya hapo anatayarisha mipango ya vita .
Mipango mizuri ya vita iliwezesha Isreal kuwagaragaza maadui wao ambao waliwazidi maradufu kwa idadi ya askari pamoja na zana.
Mujarabu kabisa!
 
Mdomo wako tumeuzoea kwa kutokwa na mineno miyeusi.

Kwa majibu haya Mkuu uliompa jamaa bila shaka utaanza kuhubiri injiri tu badala ya matusi.

Hah hah ah


Kwa Mimi ambaye ni ' Rais ' wa Kudumu wa Matusi / Maneno Shombo Jamvini hilo Tusi ulilolitaja hapo wala bado naona hujanitukana hivyo nakuomba tulia chini tafuta Matusi mengine mapya na kama huna niambie nikuazime Kamusi yangu ' Tukuka ' kabisa na Matusi ili uokote okote mengine huko kisha uwe ' Mbobevu ' nayo.
 
Back
Top Bottom