Kitoabu
JF-Expert Member
- Jul 7, 2011
- 10,677
- 11,768
Zamani wa janja walikua wachache.Baada ya vita na Uganda Nyerere alisema tuvumilie tufunge mikanda kwa miezi 18 tu na uchumi utarudi sawa - miaka minne baadae bado tulikuwa tunatumia majani ya mipapai kufua nguo na kula ugali wa njano toka USA, uji bila sukari, Colgate za magendo toka Kenya, sabuni za kuogea toka Malawi na Zambia nk lakini anatuchekesha na tunaendelea kuwa na furaha. Hebu mwambie Raisi yeyote wa sasa atufanye hivyo leo kama hajaonja joto ya jiwe
Siku hizi kila mtu kaota mapembe.