Jiulize; Ethiopia wana Dreamliner zaidi ya 20, SGR, barabara nzuri, flyover nyingi, lakini bado watu wake wanafia kwenye malori wakizamia Bondeni!

Zamani wa janja walikua wachache.
Siku hizi kila mtu kaota mapembe.
 
Hata marekani watu wanaandamana Maisha magumu,kila mtu ana Umaskini wake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…