Msanii
Platinum Member
- Jul 4, 2007
- 26,483
- 40,130
- Najua sasa kiafya na kiakili umechoka sana - JIUZULU
- Assistant Vampire ameshaanza kukenua meno yake makali kwako - JIUZULU
- Umeandaa wasia siku ya marehemu washika mikuki, umekataliwa usiusome kwenye matanga - JIUZULU
- Rumors of WAR from within (The PLUMBING noise is big) - JIUZULU
- Crazy BALD heads wameshakuonesha kuwa hawakutaki. Them crazy nakwambia ohoo - JIUZULU
- ibara ya 8 ya Katiba wanakukataa wazi wazi - JIUZULU
- Tezi DUME anakukwepa huku akichekelea matokeo mabovu ya ushauri wake kwako - JIUZULU
- Ufanye hima ujiuzulu kabla ya ukingo kusogelea..... Wanaokushauri ufanye haya mauaji unayoyafanya hawatosimama upande wako kwenye hatima unayoiendea.
Jiuzulu sasa or ever.
Wait a second. Vunja Bunge, Vunja BLM, tengua sheria namba 2 ya 2023 ili kufuta mabadiliko uliyonuia dhidi ya Taifa. Unda serikali ya Mpito kisha wakumbatie wajukuu zako ili baraka zianze kukunyeshea.
Usichukulie serious ushauri wangu. Nimepiga lubisi yangu ikanipa hekima ya kinibu