Jiuzulu. Nakushauri jiuzulu kabla ya ukingo

Msanii

Platinum Member
Joined
Jul 4, 2007
Posts
26,483
Reaction score
40,130
  1. Najua sasa kiafya na kiakili umechoka sana - JIUZULU
  2. Assistant Vampire ameshaanza kukenua meno yake makali kwako - JIUZULU
  3. Umeandaa wasia siku ya marehemu washika mikuki, umekataliwa usiusome kwenye matanga - JIUZULU
  4. Rumors of WAR from within (The PLUMBING noise is big) - JIUZULU
  5. Crazy BALD heads wameshakuonesha kuwa hawakutaki. Them crazy nakwambia ohoo - JIUZULU
  6. ibara ya 8 ya Katiba wanakukataa wazi wazi - JIUZULU
  7. Tezi DUME anakukwepa huku akichekelea matokeo mabovu ya ushauri wake kwako - JIUZULU
  8. Ufanye hima ujiuzulu kabla ya ukingo kusogelea..... Wanaokushauri ufanye haya mauaji unayoyafanya hawatosimama upande wako kwenye hatima unayoiendea.

Jiuzulu sasa or ever.
Wait a second. Vunja Bunge, Vunja BLM, tengua sheria namba 2 ya 2023 ili kufuta mabadiliko uliyonuia dhidi ya Taifa. Unda serikali ya Mpito kisha wakumbatie wajukuu zako ili baraka zianze kukunyeshea.

Usichukulie serious ushauri wangu. Nimepiga lubisi yangu ikanipa hekima ya kinibu
 
nonsense narrative🐒
 
Umeandika kikomandoo kweli kweli. Hii inaitwa chagua kujitundika au kutundikwa!
 
Kimeumana tena
 
Mkusha kewa kangara bwana
 
Kwanini ajiuzulu yeye badala ya "mtuhumiwa" AU
Wajiuzulu wote kisha waombe kura upya kwa wananchi ili ijulikane MBIVU MBICHI
 
Ama ni Hekima za Bagonza?
 
JIUZULU WEWE INATOSHA
TAFUTA CHIMBO LAKO ULAMBE ASALI KIMYA KIMYA MZEE WANGU ACHENI KELELE HAPA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…