Jiuzulu. Nakushauri jiuzulu kabla ya ukingo

Aliyeuwa ili atamalaki shamba la nyikani
 
Eti tezi dume 😂😂
 

Attachments

  • downloadfile(68).jpg
    84.8 KB · Views: 11
Naunga mkono hoja. Naona kama giza limekaribia sana. Turudi nyumbani kabla giza nene halijatanda tukashindwa kuona njia ya kwenda nyumbani.
 


WEWE NI TONY BLAIR ?? Mshauri wake ?? Au kama siye unashindana naye ??
 
Hii si ya kuchukulia poa,walevi huwa wanajua mambo mengi ya bar,kuliko mwenye bar
 
Hakunaga kujiuzuru Afrika miaka hii, waliweza akina Mzee Ruksa, Edo miaka ile

Hawa wasasa ni hadi wang'olewe kinguvu
 
This one is too obvious... Umeandaa wasia siku ya marehemu washika mikuki, umekataliwa usiusome kwenye matanga
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…