Jiwe gani hili?

Jiwe gani hili?

View attachment 3158282
Jiwe gani hili wakuu, nilikua natafuna karanga toka kanda yakati nikalikuta humo.

Nisije nikatupa neema Mungu amenitumia kimyakimya.

Ni rangi ya brown light ugoro kabisa,limechongeka pembetatu 🔻,gram si chini ya 25.

Wataalam njoeni hapa.
unakula karanga za 50 unakuta jiwe unadhani umekuwa millionaire!
 
Huna akili wewe, bora huyo muuza karanga ana àkili anatafuta hela, wewe unàtaka kuokota hela? Ondoa utaahira wako humu.
Unaanza matusi badala ya kujadili hoja,
nyie watu mliozaliwa matakoni kwa maustaadhi kuwajaza mimba Mama zenu mna shida sana.
Jadili kilichopo hapa nguruwe shoga wewe🐷🐷🐷🐷🐒
 
Back
Top Bottom