Jiwe la Tanzanite lililonunuliwa na Serikali kwa 10 Bilion kutoka kwa Mchimbaji Laizer kipindi cha Hayati Magufuli liko wapi?

Jiwe la Tanzanite lililonunuliwa na Serikali kwa 10 Bilion kutoka kwa Mchimbaji Laizer kipindi cha Hayati Magufuli liko wapi?

peno hasegawa

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2016
Posts
14,255
Reaction score
23,949
Mada inajieleza. Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?

Kama lipo litahifadhiwa hadi lini? Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
 
Mambo mengine haya... Muacheni marehemu apumzike.
Kukumbushia makosa ya marehemu hakumfanyi aliye hai ni msafi.

Mfano usiseme marehemu bwana alikuwa mwizi saana, wakati aliye hai ni mzinifu.
 
Labda ilikuwa moja ya muendelezo wa uongo
Tuna waandishi wa Habari makanjanja wanaojua kuhoji ujinga tu na kuandika upupu, ila mambo kama haya hawana Habari nayo

Hapo wangemuhoji Laizer na wizara ya madini
Yaani kwa wenzetu jirani mbona hakuna uongo uongo kama haya yetu
 
Mada inajieleza.
Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?

Kama lipo litahifadhiwa hadi lini?
Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Nenda makumbusho ya taifa utalikuta,
Unauliza litahifadhiwa hadi lini..??? Wee unataka liuzwe au,by the likichoka kukaa makumbusho litaenda B.O.T
 
Mada inajieleza.
Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?

Kama lipo litahifadhiwa hadi lini?
Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Msiwabane sana.Nendeni nao mdogomdogo.Hawakawii kuanza kujiliza kama vibwengo.
 
Haya mambo hata kama yakiendelea kufukuliwa, lakini kama walioko madarakani hawana nia ya dhati kumaliza tatizo, badala yake wao ni kulindana tu, hizi kelele zinazopigwa zinageuka kama upepo tu, hazina maana wala tusijidanganye.
 
Mwendazake ndiye raisi mwenye maelezo mengi kuliko maraisi wote ndani ya mda mfupi
 
Mambo mengine haya... Muacheni marehemu apumzike.
Kukumbushia makosa ya marehemu hakumfanyi aliye hai ni msafi.

Mfano usiseme marehemu bwana alikuwa mwizi saana, wakati aliye hai ni mzinifu.
Kwa maana nyingine kama Mzee kapumzika na Jiwe nalo limezikwa??
 
Kwa utawala wa lile jambazi kuu ulivyokuwa kama likionekana niiteni 'amina kipini' nimekaa pale👉
 
Back
Top Bottom