peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Mkuu unamaanisha lile jiwe halipo?Mambo mengine haya... Muacheni marehemu apumzike.
Kukumbushia makosa ya marehemu hakumfanyi aliye hai ni msafi.
Mfano usiseme marehemu bwana alikuwa mwizi saana, wakati aliye hai ni mzinifu.
Alipewa Kikwete, analo pale kwake analikalia tu huku akinywa kahawa.Mada inajieleza.
Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?
Kama lipo litahifadhiwa hadi lini?
Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Nenda makumbusho ya taifa utalikuta,Mada inajieleza.
Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?
Kama lipo litahifadhiwa hadi lini?
Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
Msiwabane sana.Nendeni nao mdogomdogo.Hawakawii kuanza kujiliza kama vibwengo.Mada inajieleza.
Lile jiwe la Tanzanite limewekwa wapi na linatunzwa na Nani?
Kama lipo litahifadhiwa hadi lini?
Kama halipo Lili kwenda wapi baada ya kifo cha mpendwa wetu?
π€π€π€π€π€ππππNenda makumbusho ya taiga utalikuta,
Unauliza litahifadhiwa hadi lini..??? Wee unataka liuzwe au,by the likichoka kukaa makumbusho litaenda B.O.T
Kwa maana nyingine kama Mzee kapumzika na Jiwe nalo limezikwa??Mambo mengine haya... Muacheni marehemu apumzike.
Kukumbushia makosa ya marehemu hakumfanyi aliye hai ni msafi.
Mfano usiseme marehemu bwana alikuwa mwizi saana, wakati aliye hai ni mzinifu.