Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Nawe Ume jiona shujaa kwa ujinga huo??, mkuu jitathimini
 
Ikitokea nimepiga shoo na kusababisha kupatikana mtoto itabidi nichukue mtoto huyo kama mama yake atapenda. Shoo tunapiga na kuchapa lapa mbele ila huwa hatufuatilii kama tumetia mimba kwa hao mademu tuliokutana nao kwa shoo za shaa shaa
 
Ni kweli mkuu, jamii ini tathimini kwa kina.
 
Ikitokea nimepiga shoo na kusababisha kupatikana mtoto itabidi nichukue mtoto huyo kama mama yake atapenda. Shoo tunapiga na kuchapa lapa mbele ila huwa hatufuatilii kama tumetia mimba kwa hao mademu tuliokutana nao kwa shoo za shaa shaa
Safi Sana mkuu, hii mbinu ita saidia Sana kuepusha watoto kupotea.
 
Pastor rose shaboka alisema kuzaa kablaa ya ndoa haimaanishi anakupenda au anataka kukuoa......

Sisi ma binti tunayoile tunasema ngoja nim,bebee mimba huenda atazidisha kunipenda au atanioa

Kumbe siyo kweli, ndyomaama idadi ya ma single mama imeongezeka mtaani.

Na mwanaume akiambiwa Nina mimba anaondoka na hageuki nyuma.

Anayekuja kuteseka ni kiumbe asiyekua na hatia

HAKUNA MIMBA YA BAHATI MBAYA DUNIANI

hawa wanaume wanazalisha huko wanakuja hapa kusema I hate single mama

Usioe single mama

Hao ma single mama hiyo mimba wamejitia ???

Vitoto vinateseka bila hatia

Badilikeni leeni watoto wenu.
 
Ume sema vitu muhimu Sana, jamii ibadilike.
 
Hii style ya kizazi jipya, ya nipe mtonyo nichanue, ni majanga na hasara kabisa.

Kama mtu ana jijua hawezi wajibika, SI utumie Kinga tu.
Maana tuki sema njia za uzazi wa mpango, wapo watakao tumia Chaka Hilo kuwa Malaya.
 
I got pretty of tricks, So ain't falling on shits.

Huyo binti nime kupa wewe, mbebe mupate watoto mleeπŸ€£πŸ˜†
Totoo usivuke stage utakufa ukifika umri kama wangu kwa mambo ya ajabu binadamu washangae.

Time's ticking and i ain't keeping up with those vibes nataka wazee wenzangu,tubinti tuniue? au sababu nakusupport hiyo kichwa yako unaona wananifaa 🀣
 
Totoo usivuke stage utakufa ukifika umri kama wangu kwa mambo ya ajabu binadamu washangae.

Time's ticking and i ain't keeping up with those vibes nataka wazee wenzangu,tubinti tuniue? au sababu nakusupport hiyo kichwa yako unaona wananifaa οΏ½
I knew it, you were just a fool acting as a pastor 🀣.

we si ulisema Ile binti ndogo ni style zako, Leo una jikuta innocent??
 
Mitaa haina watoto, haizai, tunazaa sisi halafu siyo Kila mtoto aliyepo mitaani anatokana na wazazi kukwepa majukumu ya kulea fanya uchunguzi utabaini.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…