Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Jizuie kuzaa au kuzalisha ikiwa huwezi kutunza wanao au familia yako

Hapa muhanga mkubwa ni binti.
Yaani akili zao za balehe zinawalostishq sana na kuwaachia maumivu makubwa maishani.
Yaani utakuta anakutegeshea mimba mchana kweupe ATI kisa ndio umuoe.
Madhara yake ndio haya.
Niliwahi date na mdada yaani mimi ndio najua siku zake za hatari kuliko yeye mwenyewe anavyojijua.
Ilivyonasia tu ndio talaka hiyo mazima.
Nikadate na mwingine huyu binti mdogo 22yrs lakini singo mama.
Alikua anajua athari zote za kubebeshwa mimba akawa makini kwelikweli. Siku tunakaribia kuachana akanitegeshea mimba.
Nikaona halahaulaa hata wewe. Kimasihara tu akawa anajibu. Nikimuona mwanangu sitoacha kukukumbuka
Huyu wa mwisho alinitonya kabisaa leo date danger.
N
Tukakubaliana nitamwaga nje.
Wakati nafikia mshindo kaningangania mikono yote miwili kiunoni mzee baba nikashinda jinasua. Nikajua labda alifanya vile sababu ya ladha. Nikampa option nyingine p2. Baada ya miezi kadhaa ananipigia simu ananidorishia kabisaa Ana mimba. Kuuliza vp ulimeza? Ndio kujibu siku meza.
Ndio kumkataa mazima.
Yaani jinsia ke. Acha tu.
Nawe Ume jiona shujaa kwa ujinga huo??, mkuu jitathimini
 
Ikitokea nimepiga shoo na kusababisha kupatikana mtoto itabidi nichukue mtoto huyo kama mama yake atapenda. Shoo tunapiga na kuchapa lapa mbele ila huwa hatufuatilii kama tumetia mimba kwa hao mademu tuliokutana nao kwa shoo za shaa shaa
 
Kutelekeza damu yako ni upuuzi mkubwa zaidi kufanywa na mwanaume. Watu wa aina hii wanatakiwa wahasiwe.

Ila pia nyie kina dada muache upumbavu wa kuwakataa wasukuma na kuwavulia chupi masharobaro. Binafsi nina list ndefu ya wanawake waliokuwa wananiringia ila kwa sasa hivi wanatamani wapate hata salamu yangu baada ya wao kuukwaa usingo mama.
Ni kweli mkuu, jamii ini tathimini kwa kina.
 
Ikitokea nimepiga shoo na kusababisha kupatikana mtoto itabidi nichukue mtoto huyo kama mama yake atapenda. Shoo tunapiga na kuchapa lapa mbele ila huwa hatufuatilii kama tumetia mimba kwa hao mademu tuliokutana nao kwa shoo za shaa shaa
Safi Sana mkuu, hii mbinu ita saidia Sana kuepusha watoto kupotea.
 
Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.

jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana.
Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi.

Una jiita best dad, akati uli kataa mtoto na kumtelekeza aka teseke na mama yake halafu una fungua mdomo Eti I hate single moms(mzee hii dhambi ita ku hunt aidha kwa kujua au kuto kujua).

na wewe binti USI hisi niko hapa kutetea uzuzu wa mtu, ehh naongea na wewe bingwa wa kuchanua mapaja, kisa Ume ambiwa uta olewa au kupendwa sana.

ehh we si una jiona gold diggers a.k.a bingwa wa kutoa mimba, IPO siku ita nasa, halafu haita toka, na sijui uki mzaa uta mtupa huyo mtoto ka yule mwingine?

Ina sikitisha mnoo, watoto Hawa Wana ndoto ka hao wanao ulio nao Sasa.

Usha waza Ile saa mwanao au wanao Wana lala kwenye godoro la 5*6,
halafu Kuna wale watoto kula tu mtihani??, ndo Hawa wanao vizia waibe hapo kwako, Afu uta sema wezi wabaya big no ni matokeo ya ujinga wako tu.

aisee we better wake up Kama jamii, wajibika uki shindwa tumia Kinga, kihurumie kizazi kijacho.

I mean no malice to nobody

View attachment 2972996
Pastor rose shaboka alisema kuzaa kablaa ya ndoa haimaanishi anakupenda au anataka kukuoa......

Sisi ma binti tunayoile tunasema ngoja nim,bebee mimba huenda atazidisha kunipenda au atanioa

Kumbe siyo kweli, ndyomaama idadi ya ma single mama imeongezeka mtaani.

Na mwanaume akiambiwa Nina mimba anaondoka na hageuki nyuma.

Anayekuja kuteseka ni kiumbe asiyekua na hatia

HAKUNA MIMBA YA BAHATI MBAYA DUNIANI

hawa wanaume wanazalisha huko wanakuja hapa kusema I hate single mama

Usioe single mama

Hao ma single mama hiyo mimba wamejitia ???

Vitoto vinateseka bila hatia

Badilikeni leeni watoto wenu.
 
Pastor rose shaboka alisema kuzaa kablaa ya ndoa haimaanishi anakupenda au anataka kukuoa......

Sisi ma binti tunayoile tunasema ngoja nim,bebee mimba huenda atazidisha kunipenda au atanioa

Kumbe siyo kweli, ndyomaama idadi ya ma single mama imeongezeka mtaani.

Na mwanaume akiambiwa Nina mimba anaondoka na hageuki nyuma.

Anayekuja kuteseka ni kiumbe asiyekua na hatia

HAKUNA MIMBA YA BAHATI MBAYA DUNIANI

hawa wanaume wanazalisha huko wanakuja hapa kusema I hate single mama

Usioe single mama

Hao ma single mama hiyo mimba wamejitia ???

Vitoto vinateseka bila hatia

Badilikeni leeni watoto wenu.
Ume sema vitu muhimu Sana, jamii ibadilike.
 
Mkuu umeandika uzi mzuri sana. Hili jambo mimi huwa linanisikitisha sana. Watu wengi wanashindwa kuelewa kuwa malezi ya watoto sio kuwa na hela nyingi peke yake. Malezi yana mambo mengi mno. Ule upendo wa wazazi tu na kuwa karibu na mtoto ni muhimu sana kwa maisha yake ya baadae. Watu wengi tuliozaliwa hadi miaka ya 90 tumekulia kwenye maisha ya vibatari na jiko la kuni ila tulikua kwa kile ambacho wazazi waliweza kulingana na kipato chao. Na utakuta home mko 6 au 7 ila baba anakomaa na nyie hadi siku mnaenda kujitegemea.
Hii style ya kizazi jipya, ya nipe mtonyo nichanue, ni majanga na hasara kabisa.

Kama mtu ana jijua hawezi wajibika, SI utumie Kinga tu.
Maana tuki sema njia za uzazi wa mpango, wapo watakao tumia Chaka Hilo kuwa Malaya.
 
I got pretty of tricks, So ain't falling on shits.

Huyo binti nime kupa wewe, mbebe mupate watoto mlee🤣😆
Totoo usivuke stage utakufa ukifika umri kama wangu kwa mambo ya ajabu binadamu washangae.

Time's ticking and i ain't keeping up with those vibes nataka wazee wenzangu,tubinti tuniue? au sababu nakusupport hiyo kichwa yako unaona wananifaa 🤣
 
Totoo usivuke stage utakufa ukifika umri kama wangu kwa mambo ya ajabu binadamu washangae.

Time's ticking and i ain't keeping up with those vibes nataka wazee wenzangu,tubinti tuniue? au sababu nakusupport hiyo kichwa yako unaona wananifaa �
I knew it, you were just a fool acting as a pastor 🤣.

we si ulisema Ile binti ndogo ni style zako, Leo una jikuta innocent??
 
Mitaa haina watoto, haizai, tunazaa sisi halafu siyo Kila mtoto aliyepo mitaani anatokana na wazazi kukwepa majukumu ya kulea fanya uchunguzi utabaini.
 
Back
Top Bottom