Intelligent businessman
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 31,913
- 65,514
- Thread starter
- #41
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nilitaka nikuite kumbe ushafika wizo 🤣🤣🤣Leo umeongea pointi mno tangu nikujue anko.
Natamani kukupa zawadi.
I mean no malice to nobody.
Ni idea, once it's hooked in the brain haiwezi kuwa eradicated kirahisi.Ni IPI mkuu
Aisee pacha niache basi😆Nilitaka nikuite kumbe ushafika wizo 🤣🤣🤣
Toka umwambie unataka kumzalia bac anashusha minyuzi heavy yenye madini..!!
Pacha hi 👋 😜
Kizazi cha kwenye maandiko kinge jihurumia leo sisi tusingekuwepo, tuache uwoga tubebe majukumu tulioumbiwa duniani; bado nasimamia hoja yangu.
antagonist na protagonist lazima wawepo 🤣
Sasa kwa style yako ya kuzalisha kila pisi, una hisi hao watoto 10 kwa kila Dem. wata tunzwa na nani ??Kizazi cha kwenye maandiko kinge jihurumia leo sisi tusingekuwepo, tuache uwoga tubebe majukumu tulioumbiwa duniani; bado nasimamia hoja yangu.
Ukijua kuzaa, lazima ujue kulima na kufuga; mapori ni mengi yanahitaji kulimwa na kufanyiwa ufugaji.Sasa kwa style yako ya kuzalisha kila pisi, una hisi hao watoto 10 kwa kila Dem. wata tunzwa na nani ??
Aisee ume nikumbusha mbali🤣, sema slow minds Hawa wezi elewa Hapo😆antagonist na protagonist lazima wawepo 🤣
Ni idea, once it's hooked in the brain haiwezi kuwa eradicated kirahisi.
Sasa wabongo tuna fikiria ngono, badala ya big change zenye manufaa au impact nzuri.
Hatari sana, hapa ni kutengeneza bomu litakalo lipuka popote.Upo sahihi .
Wabongo hatuna mwanga wa AKILI
Enlightenment
Baada ya kutafakari kwa kina nilipata revelation kuwa binadamu huwa haongozwi na macho ya nyama Ila anatumia ubongo kwenda mbele.
Hii nilikuja kuthibitisha kwa kipofu mmoja ambaye namfahamu maisha ameyapangilia vizuri na anaelewa mambo mengi Sana.
Hii maana yake Kama hauna mwanga wa akili unakuwa upo kwenye hatari na unaweza kuwaza ngono tu.
Inafikirisha Sana mkuu
Mzee hapa una ongea kishujaa sana, USI kute naongea na kijana ane miliki I phone na jinzi iliyo banwa ka mfuko wa ramboUkijua kuzaa, lazima ujue kulima na kufuga; mapori ni mengi yanahitaji kulimwa na kufanyiwa ufugaji.
kumwaga nje mnashindwa ndio wao waweke vizuizi?Njia za uzazi zipo, USI jifanye bingwa wa kukata kiuno.
Siku una ondoka, watoto Wana Baki na tabu.
Piga kazi Kwa juhudi, hata ukiondoka, watoto wako wafaidi juhudi
Hatari sana, hapa ni kutengeneza bonu litakalo lipuka popote.
Maana hao watoto lazima watafute njia ya kusurvive, wakiwa majambazi tusi lalamike.
Wengi tunakimbia majukumu kwa sababu hatutaki kulima, tunategemea 1000 ndio igeuke iwe unga, nyama, vitunguu, sukari n.kMzee hapa una ongea kishujaa sana, USI kute naongea na kijana ane miliki I phone na jinzi iliyo banwa ka mfuko wa rambo
kumwaga nje mnashindwa ndio wao waweke vizuizi?
Madam hao mabinti wachukue hatua pia, huwezi lazimishwa kuchanua miguu kizembe zembe.kumwaga nje mnashindwa ndio wao waweke vizuizi?
Kuna Jamaa namjua na watoto zaidi ya 13 na wote mama tofauti.Yaan Bora mkuu umeamua kuwachana tu masela maana daaa wanaume tumezidi aisee alafu unakuta kbs kijana lizima linajisifu mm na wtt watatu Kila mmoja na mamaake na wt wako huko Kwa mama zao 🤭..