Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,084
- 15,998
Wivu kijana,muulize shemeji yako what she digs about me?just go to hell, cause I heard you got a face like the gorrila shit hole😂🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wivu kijana,muulize shemeji yako what she digs about me?just go to hell, cause I heard you got a face like the gorrila shit hole😂🤣
Ukipendwa na watoto nyota yako nzuriUko sahihi, katika kitu Ninacho penda ni watoto.
For real wale huwa ni washkaji zangu Sana
Naunga mkono hojaMuda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana.
Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi.
Una jiita best dad, akati uli kataa mtoto na kumtelekeza aka teseke na mama yake halafu una fungua mdomo Eti I hate single moms(mzee hii dhambi ita ku hunt aidha kwa kujua au kuto kujua).
na wewe binti USI hisi niko hapa kutetea uzuzu wa mtu, ehh naongea na wewe bingwa wa kuchanua mapaja, kisa Ume ambiwa uta olewa au kupendwa sana.
ehh we si una jiona gold diggers a.k.a bingwa wa kutoa mimba, IPO siku ita nasa, halafu haita toka, na sijui uki mzaa uta mtupa huyo mtoto ka yule mwingine?
Ina sikitisha mnoo, watoto Hawa Wana ndoto ka hao wanao ulio nao Sasa.
Usha waza Ile saa mwanao au wanao Wana lala kwenye godoro la 5*6,
halafu Kuna wale watoto kula tu mtihani??, ndo Hawa wanao vizia waibe hapo kwako, Afu uta sema wezi wabaya big no ni matokeo ya ujinga wako tu.
aisee we better wake up Kama jamii, wajibika uki shindwa tumia Kinga, kihurumie kizazi kijacho.
I mean no malice to nobody
View attachment 2972996
Hitimisho langu bado ni lile lile nililoliandika kuleee 👇👇👇Shimba ya Buyenze tuachie neno lako mkuu.
Mkuu majibu yako yako sahihi, barikiwa Sana
Hii mistari mizito aseee Mungu atupe nguvu zaidi katika kulea wanetu katka maadili mema alafu kuusu swala la kuchukia swala la single mama kila mtu Yuko na mtizamo wake kwa vile anavyoona yeye huwezi chukia tu from no where chiefMuda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana.
Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi.
Una jiita best dad, akati uli kataa mtoto na kumtelekeza aka teseke na mama yake halafu una fungua mdomo Eti I hate single moms(mzee hii dhambi ita ku hunt aidha kwa kujua au kuto kujua).
na wewe binti USI hisi niko hapa kutetea uzuzu wa mtu, ehh naongea na wewe bingwa wa kuchanua mapaja, kisa Ume ambiwa uta olewa au kupendwa sana.
ehh we si una jiona gold diggers a.k.a bingwa wa kutoa mimba, IPO siku ita nasa, halafu haita toka, na sijui uki mzaa uta mtupa huyo mtoto ka yule mwingine?
Ina sikitisha mnoo, watoto Hawa Wana ndoto ka hao wanao ulio nao Sasa.
Usha waza Ile saa mwanao au wanao Wana lala kwenye godoro la 5*6,
halafu Kuna wale watoto kula tu mtihani??, ndo Hawa wanao vizia waibe hapo kwako, Afu uta sema wezi wabaya big no ni matokeo ya ujinga wako tu.
aisee we better wake up Kama jamii, wajibika uki shindwa tumia Kinga, kihurumie kizazi kijacho.
I mean no malice to nobody
View attachment 2972996
kuhusu kuleta watoto naunga mkono, ila kuhusu kuchukia ndio ni mtazamo so kila mtu ana haki ya kuji elezeaHii mistari mizito aseee Mungu atupe nguvu zaidi katika kulea wanetu katka maadili mema alafu kuusu swala la kuchukia swala la single mama kila mtu Yuko na mtizamo wake kwa vile anavyoona yeye huwezi chukia tu from no where chief
Ndo maana nasemaga, ninge kuwa mkubwa😊😊Mwanamke yeyote aliyepewa mimba katika umri mdogo bila kuolewa/kuwa na supportive partner, yuko katika hati hati ya kutengeneza “mtoto wa mtaani” Unakuta binti amezaa akiwa underage, hana elimu, familia haina kipato, familia iko broken kiasi kwamba hata “mama huyu” akifariki hakuna wakumlelea mtoto, hivyo mtoto anaanza kujilea mitaani na pia ukatili majumbani huwa ni chanzo cha watoto kukimbia makwao hasa katika umri wa miaka 7-12.
Solution: 1. Women empowerment (hii ina mambo mengi sana ndani yake)
2. Wanaume muache watoto wakike wasome msiwachezee wakiwa bado wadogo.
3. Jamii kuwa na culture ya kuwa na strong families kama institution ya kwanza kijamii.
NB: Watoto wa mitaani wengi chanzo chake ni unstable families = mimba za utotoni.
Tukubali tusikubali, Watoto wengi wa mtaani mfano katika jiji la Dar, wengi wametokea mikoani, wamedandia treni hadi wamefika Dar, na hata kama ni wa Dar basi wametokea katika mitaa yetu ile, Je tumeliona tatizo??
Si ana kuvumilia tu🤣😂, ili deep inside ana jua u are a shit😁Wivu kijana,muulize shemeji yako what she digs about me?
mkuu Sasa mbona we una nikazia, akati mwanao ana nipendaUkipendwa na watoto nyota yako nzuri
Ushasema humtaki😂😂😂mkuu Sasa mbona we una nikazia, akati mwanao ana nipenda
Natania mkwe wangu,😂🤣Ushasema humtaki😂😂😂
Na nimemuweka kwa kitambi muda huu anabembea tu juu chini kila nikivuta pumzi.Si ana kuvumilia tu🤣😂, ili deep inside ana jua u are a shit😁
Bro angalia usije kufa, tuna jua huna pumzi 🤣🤣Na nimemuweka kwa kitambi muda huu anabembea tu juu chini kila nikivuta pumzi.
Hujawahi kuweka mtoto mchanga kifuani?Bro angalia usije kufa, tuna jua huna pumzi 🤣🤣
Hakuna jambo ambalo tunaweza kufanya pasipo kuwa na matokeo yanaweza kuwa hasi au chanya hivyo lazima tujifunze kukubali na kuyapokea matokeo tunayoyatarajia au tusiyoyatarajia hiyo ndio itakuwa njia pekee ya kukabiliana na hizi changamoto zinazojitokeza.Muda mwingine huwa nawaza tu, hivi Hawa watoto walioko mtaani ni kosa au matokeo ya nani??.
jibu ni sisi , ndio ni Mimi na wewe, Kama sio sisi, ni yule au wale. Haijalishi we ni mzuri auhandsome Sana.
Jua Kuna kitoto kina umia mtaani, kwa sababu ya ujinga na maamuzi yako ya kipuuzi.
Una jiita best dad, akati uli kataa mtoto na kumtelekeza aka teseke na mama yake halafu una fungua mdomo Eti I hate single moms(mzee hii dhambi ita ku hunt aidha kwa kujua au kuto kujua).
na wewe binti USI hisi niko hapa kutetea uzuzu wa mtu, ehh naongea na wewe bingwa wa kuchanua mapaja, kisa Ume ambiwa uta olewa au kupendwa sana.
ehh we si una jiona gold diggers a.k.a bingwa wa kutoa mimba, IPO siku ita nasa, halafu haita toka, na sijui uki mzaa uta mtupa huyo mtoto ka yule mwingine?
Ina sikitisha mnoo, watoto Hawa Wana ndoto ka hao wanao ulio nao Sasa.
Usha waza Ile saa mwanao au wanao Wana lala kwenye godoro la 5*6,
halafu Kuna wale watoto kula tu mtihani??, ndo Hawa wanao vizia waibe hapo kwako, Afu uta sema wezi wabaya big no ni matokeo ya ujinga wako tu.
aisee we better wake up Kama jamii, wajibika uki shindwa tumia Kinga, kihurumie kizazi kijacho.
I mean no malice to nobody
View attachment 2972996
Ohh kumbe ume weka mtoto mchanga😂🤣, Nika jua Ume weka Ile bibi yako.Hujawahi kuweka mtoto mchanga kifuani?
Baaaaasi ndio nimemuweka yeye kichwa iko kifuani ila kiwiliwili tumboni,anabembea kama mwanasesere tu hapa.
Nimekutolea mfano wa mtoto mchanga ila ni yeye bibi yako ndio nimemuweka,baada ya mihangaiko mchana kutwa na jua kali la tandale baaasi tunakonyezana tu hapaOhh kumbe ume weka mtoto mchanga😂🤣, Nika jua Ume weka Ile bibi yako.