JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

Wapo LIVE Star TV swala la kura za siri wakiwa Dodoma
 
Mnyika anasema amedaka Nyaraka za siri toka CCM
 
Tujuze yajirio katika mahojiano hayo kwani wengine tupo mbali na TV
 
Ester anasema yawezekana nyaraka zimegushiwa, kama nyaraka ya Mtikila huko Tarime
 
Wanaosema kura ya siri ni kwa manufaa ya umma hawajui maana ya shughuli za bunge. Shughuli za bunge ni za umma na ndio maana wanaweka hansard yani kumbukumbu nukta kwa nukta kinachokuwa kinaendelea bungeni.

Lazima watetee hoja na wapigie kura ya wazi.
 
wapo live star tv swala la kura za siri wakiwa dodoma

wapi hiyo mnatengeneza mnapiga muhuri wa siri, hivi kitu cha siri lazima uweke kwa maandishi makubwa neno siri,
 
Ester huwa haogopi na sio mnafiki kabsa,hawa ni baadh ya viongoz wachache wenye utash ccm,ubarikiwe ester umejivua gamba
 
Mnyika anasema atauweka kwenye mtandao wake waraka wa siri wa CCM ili wananchi wajionee
 
Huyu dada ana matatizo, wakati viongozi wake wakuu raisi wa bara anasema anasimamia serikali mbili, raisi wa znz anasema serikari mbili, viongozi wake wajuu wa chama ambacho yeye ni mwanachama wanasema wanataka serikali mbili. Halfu yeye anadai CCM aina msimamo, kitu chakujifunza hapo chama hakina nidhamu.

Demokrasia inaanzia chamani na policy ndio mwongozo wa chama na wanachama unapoona mwanachama anaenda nje hapo na viongozi wake wajuu huo ni utovu wa nidhamu halafu anaogea upuuzi huo kwenye national tv. You can see why chama kinakua na matatizo na wanachama kama hawa wasioweza kutii amri na uongozi legelege.
 
ivi ana mume huyu dada,??kanikosha sana jana...
 
Ester huwa haogopi na sio mnafiki kabsa,hawa ni baadh ya viongoz wachache wenye utash ccm,ubarikiwe ester umejivua gamba
Amekosa nidhamu huyu dada kwa kauli yake anatakiwa aitwe na viongozi wake ndio maana ya kuwa chamani unatakiwa usimame na wakuu wako, kwengine unafukuzwa chama no question CCM kweli legelege kama inaweza kuwaacha wanachama kama hawa.
 
Back
Top Bottom