JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

JJ Mnyika na Esther Bulaya Live: Star TV

Mzee Mkinga kwa kweli amejaliwa, amesuuza roho yangu juu ya mtazamo wake kwenye masuala haya ya katiba.John mnyika ni kijana mahiri sana lakini wakati mwingine nguvu ya chama inamuendesha na hatimaye wakati mwingine anapotoka.

Bravo Mkinga
 
huyu mzee mkinga ni hazina ya taifa. Ila i love ms. ESTHER
 
Mzee Mkinga kwa kweli amejaliwa, amesuuza roho yangu juu ya mtazamo wake kwenye masuala haya ya katiba.John mnyika ni kijana mahiri sana lakini wakati mwingine nguvu ya chama inamuendesha na hatimaye wakati mwingine anapotoka.

Bravo Mkinga

Kwani amesemaje?
 
Wengine tulikuwa mbali sana.........msimamo wake ni upi......tudokezeni ambao hatukuwa kwenye netweki na kuona
 
Sidhani kama ulicholeta hapa kina maslahi kwa Taifa, labda kwa wapika majungu.
 
Mzee Mkinga kwa kweli amejaliwa, amesuuza roho yangu juu ya mtazamo wake kwenye masuala haya ya katiba.John mnyika ni kijana mahiri sana lakini wakati mwingine nguvu ya chama inamuendesha na hatimaye wakati mwingine anapotoka.

Bravo Mkinga

Mzee Mkinga ni moto aisee.................na huyu Mnyika ana akili sana ila anahitaji kuaguliwa....hawa chadomo wamemgeuza msukule...............wajitokeze wasamaria...wamfunge kamba akimbizwe kwa TB Joshua aombewe fahamu zake zirudi sawa.
 
na Lusinde unamwambiaje ktk lugha

Jana kawatukana watu sanaaa

~Mzee warioba alikuwa wapi kusema tanganyika enzi za nyerere na makamishina wote wa tume wazeee (ni tusi kubwa sanaaaa

~Mtikila alipigwa akiwepo na yeye na alimtetea (kumbe alimpangia kupigwa)

~Mwalimu nyerere na kujiita yeye ni mwalimu mwingine kama nyerere amakufa

~Wanaopigania kura ya siri ni sawasaw na wanaokata kitu mapolini wakati uso ukiwa road (tusi kubwa)

~Wapiga kura wake

Nimemdharau sanaaaaa jana.
 
Yes yuko smart sana katika maamuzi yake. Na mtu kama huyu hawezi kupendwa ndani ya chama chake. Ila ukiwa msema ukweli utafanikiwa tu hata ukiwa huna chama au kutokuwa mwanasiasa
 
mnyika nae kazidi kila siku yeye tu startv anazidi sifa kwani mbunge yuko peke yake
 
Niongeze na mimi kwenye hiyo list. I real love her so muuuch.

Kuna siku niliwaona pale CRDB Bank tawi la Mbezi beach yeye na Halima Mdee ilikuwa bado kidogo niingize gari mtaroni, wakati hata ujenzi wa barabara haujakamilika.

Mdada ameumbika kuanzia sifa za nje mpaka Ubongo.....
 
Jana kawatukana watu sanaaa

~Mzee warioba alikuwa wapi kusema tanganyika enzi za nyerere na makamishina wote wa tume wazeee (ni tusi kubwa sanaaaa

~Mtikila alipigwa akiwepo na yeye na alimtetea (kumbe alimpangia kupigwa)

~Mwalimu nyerere na kujiita yeye ni mwalimu mwingine kama nyerere amakufa

~Wanaopigania kura ya siri ni sawasaw na wanaokata kitu mapolini wakati uso ukiwa road (tusi kubwa)

~Wapiga kura wake

Nimemdharau sanaaaaa jana.
Mbona wajanja tulishamdharau kitambo tu...
 
Back
Top Bottom