Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mzee Mkinga kwa kweli amejaliwa, amesuuza roho yangu juu ya mtazamo wake kwenye masuala haya ya katiba.John mnyika ni kijana mahiri sana lakini wakati mwingine nguvu ya chama inamuendesha na hatimaye wakati mwingine anapotoka.
Bravo Mkinga

easter buloya na halima mdee lao moja.
na Lusinde unamwambiaje ktk lugha
Si bure umetumwa wewemnyika nae kazidi kila siku yeye tu startv anazidi sifa kwani mbunge yuko peke yake
Mbona wajanja tulishamdharau kitambo tu...Jana kawatukana watu sanaaa
~Mzee warioba alikuwa wapi kusema tanganyika enzi za nyerere na makamishina wote wa tume wazeee (ni tusi kubwa sanaaaa
~Mtikila alipigwa akiwepo na yeye na alimtetea (kumbe alimpangia kupigwa)
~Mwalimu nyerere na kujiita yeye ni mwalimu mwingine kama nyerere amakufa
~Wanaopigania kura ya siri ni sawasaw na wanaokata kitu mapolini wakati uso ukiwa road (tusi kubwa)
~Wapiga kura wake
Nimemdharau sanaaaaa jana.