Huyu dada ana matatizo, wakati viongozi wake wakuu raisi wa bara anasema anasimamia serikali mbili, raisi wa znz anasema serikari mbili, viongozi wake wajuu wa chama ambacho yeye ni mwanachama wanasema wanataka serikali mbili. Halfu yeye anadai CCM aina msimamo, kitu chakujifunza hapo chama hakina nidhamu.
Demokrasia inaanzia chamani na policy ndio mwongozo wa chama na wanachama unapoona mwanachama anaenda nje hapo na viongozi wake wajuu huo ni utovu wa nidhamu halafu anaogea upuuzi huo kwenye national tv. You can see why chama kinakua na matatizo na wanachama kama hawa wasioweza kutii amri na uongozi legelege.