JK aainisha nguzo kuu sita za kuleta maendeleo Afrika

JK aainisha nguzo kuu sita za kuleta maendeleo Afrika

Inaelekea hiri rijamaa rinaroitwa JK ni JINIASI...haroo si mcheso. Rimeturia turi...rasima mababu zake waritoka ngoreme.
 
HUYU jamaa hajui wakati wa kunyamaza?with what is going on in TZ he should never open his mouth to express ANY opinion for like 30 years.

Yes Mkuu, When you don't know what you're talking about it is better to keep quiet.
 
anachokizungumza hamna kipya yote hayo yapo ktk msahafu mpya wa maendeleo waliobuniwa viongozi wa kiafrika chini ya mwavuli wa WB na donors unaoitwa VISION 2020.
pili matatizo ya afrika kwa nini yakatafutiwe ufumbuzi ulaya? ina maana africa hamna mji ambao viongozi wa kiafrika watakutana kujaribu kufikiria way forward.
mageuzi yta kiuchumi mapya yepi zaidi na kwa kasi ipi kwani kuna sekta ya umma iliyobaki ambayo haijauzwa, je kuuzwa kwa mashirika kwa style ile ndio tuiongeze kwa kasi upya, mbona haongeleli shortcomings tulizozipata kama
1. massive unemployment
2. Rising crime rate
3. Inflation on basic needs
4. Rising external debt
5. Over dependence on foreign capital
6. Decrease in education standard
7. Widening gap between rich and poor
8. Massive corruption
9. Decline in stable social structure

mbona JK hajazungumzia mkakati wa kutimiza hayo anayoyasema? maana ametaja ktk point form kama kasuku aliekaririshwa points za kusema kila siku.

la msingi kuliko yote je ni kweli kwamba africa yote matatizo ya kila nchi yatamalizwa na dawa aina moja, hamna haja ya kua na priority tofauti kutoka nchi moja kwenda nyingine? kwa sababu kwa mtazamo wangu nchi zas kiafrika zinatofautiana ki maliasili na kijiografia kwa iyo ni ukweli usiopingika kua hata priority zxa kuendeleza nchi haziendani ila kwa vile viongozi wa kiafrika wote ni walewale wamekaririshwa wimbo mmoja basi kila mmoja wao anuimba kama kasuku tu bila kujua maana yake!
 
me naona jamaa ni vema akaongea pengine ataona aibu ataamua kuyateleleza!
 

Akifafanua kuhusu nguzo hiyo ya kwanza ya Bara la Afrika kutumia vizuri, kwa njia endelevu na erevu raslimali zake, Rais Kikwete amesema kuwa uchimbaji wa madini na mafuta katika Afrika lazima uwasaidie Waafrika.


“Ni jambo lisilokubalika kuwa madini ama mafuta yanachimbwa katika Bara la Afrika, lakini jamii zinazozunguka machimbo hayo havinufaiki na uchimbaji huo. Baadhi ya makampuni ya uwekezaji katika machimbo yanathubutu hata kuagiza maji ya kunywa, ama kuagiza chakula, ama hata kukodisha malori ya kusomba mchanga kutoka nje ya Bara hili,” amesema Rais Kikwete.

Huo ndio usanii wa karne. Hayo anayosema yafanyike (katika aya ya kwanza) yeye hayafanyiki katika nchi yake na yeye anawakumbatia hao wasioyafanya! au nchi yake haiko Afrika?
Hayo anayosema kuwa yasikubalike (katika aya ya pili) ndiyo hayohayo yanafanyika katika nchi yake naye anawakumbatia hao wanaofanya hivyo!

Halafu tunasema apewe miaka mingine mitano! Kweli sisi ni wadanganyika!
 
ukarimu huanzia nyumbani. aanze kuboresha kwanza kwake ndio aje kwa Afrika
 
Back
Top Bottom